Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

Inawezekana wafuasi wa Chadema huwa hawakosei, wanatii Sheria zote za nchi na Ni wacha Mungu wote.

Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi alipokamatwa kwa tuhuma za ujangili mlishangilia mkaanza kusema CCM wote majizi na majangili, huyo mdude yeye hakosei?

Siku zote akitiwa mbaroni mwanachadema mnaanza kusema anabambikizwa kesi au makosa, mwana CCM akikamatwa mnaunga mkono.

Tusiwe watetezi wa kusafisha tuhuma bila ushahidi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyo mwanaccm aliyekamatwa alikuwa mkosoaji wa mungu wa nchini?
 
Mujumu uchumi Nchambi yuko nje kwa dhamana , mhujumu uchumi kisena yuko ndani !
 
Umeandika upuuzi mtupu..hiv huwez kutumia common sense kujua sarakas za hizo kesi au ww ni dubwasha la lumumba unafurahia wenzenu kubambikiwa makesi
 
Hahahahah... Nyie ndio wajinga mlikuwa mna like matusi yake ona sasa hivi yupo pekeake! Yani unasema hamuwezi huku wapo nae?


Mdude awamuwezi ccm nakuambia Hakimu ampatie dhamana kwanza sitaki kulalamika leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…