Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
- Thread starter
-
- #61
hii RAMANI MPYA NI YA KWELI,NAUNGA MKONO NCHI YETU TURUDISHIWE MARA MOJA.HAKUNA MJADALA KATIKA HILI.NASHUKURU SANA KWANI MIMI BINAFSI NILITAMANI TUCHUKUE NCHI YOTE.KWA WAZO LA KUCHUKUA SEHEMU ILIYOONYESHWA KATIKA RAMANI YA LEO NAKUBALIANA SANA.
Vipi mkuu umewa"PM" Nyasa Times...? Hii ramani itauza sana gazeti lao.
oi oi oi oi..... Hii sasa ni Noumer......
Picha la leo kali... jina la picha ''Bongo Flava'' Starling Zig zag Crew wanapiga watu wewe watu wewe!!
Ukiwa unagombea mpaka na jirani yako hii ndio principle ya kupata haki unayostahili. Baada ya mazungumzo ya usuluhishi mssuluhishi hurahisisha maamuzi "Kugawanya katikati eneo linalogombaniwa"
Hofu ya yangu ni kama awamu hii ya utawaka itaweza kushinda na kutetema mipaka yetu. Kimsingi hakutakiwi kuwa na mazungumzo yoyote kuhusu mipaka yetu na malawi ibaki kama ilivyobaki miaka 50 iliyopita.
Ukianzisha majadiliano ya mipaka, jiandae na kesi na mashauri zaidi katika mipaka mingine ya nchi.
Watanzania wenzangu mnanishangaza kitu kimoja tu Ardhi yetu ni kubwa ni karibu kilometa za mraba million moja tumeshindwa kuitumia tunawagawia wazungu na waarabu sasa tunataka kumega ardhi ya Malawi ili tuwape wazungu are we really serious? mimi nadhani tungeweka pressure kwanza kwenye maeneo ambayo ardhi kubwa imemegwa na wazungu kama Arumeru kwa dogo janja wazawa wamilikishwe ardhi hiyo isipotosha ndio tufikirie kupanua mipaka yetu!
Hawa Wamalawi wasintanie kabisa, Babu yangu kasema Mpaka wa Tanganyika na Malawi uko hapa
View attachment 71989
View attachment 71987
Hizi sehemu zote zetu hizi
- Karonga
- Rumphi
- Mzuzu
- Chitipa
- Nkhata
Tena wakae mbali maana tutakuja kudai sehemu yetu haiwezekani bana!!!!
lazima tupiganie nchi yetu