Mpaka wa Belgium na Netherlands

Mpaka wa Belgium na Netherlands

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Yaani mnaweza kuwa kwenye mgahawa mmoja wengine wapo Belgium wengine Netherlands
1433928275319.jpg
1433928289780.jpg
 
Kuna watu wana nyumba mlango wa mbele yko nchi moja na wa nyuma uko nchi nyingine.

Kodi ikizidi nchi moja, wanabadilisha address kufanya mlango wa mbele uwe nchi nyingine.

Mfano kwenye huo mgahawa visa inakwaje au wanakuwa free tu
 
Huu ni mpaka kati ya Morocco na Spain huko eneo la Melila.
a9c8bc1f0c6eeb11520f6a706700ce17.jpg
20197_melilla-border-holds-firm-as-1-000-attempt-to-enter-spain-from-morocco_1_large.jpg
MIGRANTS.jpg
images
images
melilla_refugees.jpg.size.xxlarge.letterbox.jpg

huyu anashangilia baada ya kufanikiwa kuuvuka mpaka wa melila
images
543ec93656809.jpg

cheki hawa jamaa wanajipongeza baada ya kuvuka mpaka wa kutoka mexico kwenda Spain
images
images
 
Kuna watu wana nyumba mlango wa mbele yko nchi moja na wa nyuma uko nchi nyingine.

Kodi ikizidi nchi moja, wanabadilisha address kufanya mlango wa mbele uwe nchi nyingine.


kama tunduma
 
Mambo ya visa inakuwaje?


Mkuu hakuna visa kati ya rai wa Netherlands na Ubelgiji. Ukiwa mgeni na una visa ya Netherlands unaruhusiwa kuingia Ubelgiji kama kawaida. Ukiachilia ukaribu wa nchi hizi,pia kuna mkataba uliosaniwa miaka mingi- mkataba wa Schengen unaoruhusu nchi kama 10 kutumia visa moja na rai wake kutembeleana bila ya vikwazo. Uholnzi na ubelgiji ni baadhi ya nchi za Schengen. Kwenye ili ngupu zipo pia: ujerumani, Ufaransa, Uhispana, Denmark,Italy n.k
 
Ok.
Vp hapo Dar,wapi ulipo mpaka wa wilaya ya Temeke na Ilala ukitokea nyerere rd?na wapi ulipo mpaka wa wilaya ya Ilala na Kinondoni ukitokea Mandera rd?
Kiukweli huwa nachanganyikiwa sana juu ya mipaka ya wilaya za dar.
Maana unaweza jenga nyumba ya kiswazi ukajikuta choo kipo kinondoni na bed room ipo Ilala.
 
Hapa ni mpaka kati ya Sweden na Norway

International-Borders-EMGN18.jpg


Huu ni mpaka kati Germany, Nertheland na Belgium.
International-Borders-EMGN16.jpg


Huu ni Marekani na Canada.
International-Borders-EMGN15.jpg


Huu ni Denmark na Sweden.
International-Borders-EMGN14.jpg


Huu ni kati ya Brazil, Argentina na Paraguay.
International-Borders-EMGN11.jpg


Mexico na Marekani.
International-Borders-EMGN10.jpg


Ureno na Hispain.
International-Borders-EMGN6.jpg


Poland na Ukraine.
International-Borders-EMGN5.jpg


Snow Border kati ya Norway na Sweden.
International-Borders-EMGN3.jpg


Huu ni kati ya Austria Hungari NA Slovakia
International-Borders-EMGN2.jpg


Mexico na USA
International-Borders-EMGN1.jpg
 
Huu ni mpaka kati ya Mexico na Spain huko eneo la Melila./huyu anashangilia baada ya kufanikiwa kuuvuka mpaka wa melila/cheki hawa jamaa wanajipongeza baada ya kuvuka mpaka wa kutoka mexico kwenda Spain

Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.
 
Back
Top Bottom