Mpaka wa Belgium na Netherlands

Mpaka wa Belgium na Netherlands

Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.
....mwenyewe nimeangalia nikashangaa!
 
Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.

Kakosea huyo
Labda anaongelea Moroco na Spain wao ndo wako karibu sana na ni rahisi mtu kuvuka akishafika Moroco
 
Hata mimi nilitaka kushangaa nikadhani labda jigsaw imeshafanyika
 
Ok.
Vp hapo Dar,wapi ulipo mpaka wa wilaya ya Temeke na Ilala ukitokea nyerere rd?na wapi ulipo mpaka wa wilaya ya Ilala na Kinondoni ukitokea Mandera rd?
Kiukweli huwa nachanganyikiwa sana juu ya mipaka ya wilaya za dar.
Maana unaweza jenga nyumba ya kiswazi ukajikuta choo kipo kinondoni na bed room ipo Ilala.

Ninavyojua mpaka wa kinondoni na ilala ni ule mto wa jangwani hadi kule salender bridge.

Mpaka wa kinondoni au mkoa wa dsm na mkoa wa pwani ni ule mto karibu na mizani ya mwanzo kibaha.
 
Viol
Wakuu, VISA ya ulaya ni moja inaitwa "SCHENGEN VISA" unaomba ktk ubalozi mmoja wowote kati ya nchi za ulaya..unaruhusiwa kutembelea humo EU popote !!
hiyo
Mkuu,
Thanks nilikuwa sijui ndo maana nikawa najiuliza kwamba mgahawani ingekuwaje ukihama kiti unakuwa nchi nyingine,halafu hii ya mpaka kupita katikati ya nyumba ni makusudi au?au ardhi hamna
 
Last edited by a moderator:
Kakosea huyo
Labda anaongelea Moroco na Spain wao ndo wako karibu sana na ni rahisi mtu kuvuka akishafika Moroco

Kitu ambacho watu wengi hawakifahamu ni kwamba kuna miji miwili ya Ceuta na Melilla ambayo iko kwenye ardhi ya Afrika lakini kitu cha kushangaza inamilikiwa na Spain. Kuna wahispania wachache sana, lakini wengi wa wenyeji kwenye miji hii ni waarabu. Official language hapa ni Spanish japo kwenye daily life arabic inacheza big part. Wamorocco wanawaonea Saharaha Magharibi tu, lakini hata siku moja hawajawahi kusema fyoko juu ya miji hii miwili kupeperusha European flag japo iko Afrika. Na wenyeji wa miji hii hawawezi kuelewa hata siku moja ukiwaambia wao ni waafrika kwasababu wamepewa haki zote za raia wa Ulaya.

Sasa basi, kwenye mpaka wa miji hii na Morroco ndio kwenye hiyo kasheshe ya vijana kutoka Afrika wanaotaka kuruka fensi na kuingia Ulaya kama mdau alivyoonyesha picha hapo juu.

Hii ramani hapa chini ndio inaonyesha miji ya Ulaya, ndani ya Ardhi ya Afrika.

ceuta_melilla.jpg
 
Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.

kuna ufaransa nyingine ipo visiwani comoro.
Pesa ya huko ni euro tuu!!!
 
Hivi Mexico na Spain zimepakana??????????????????????

Huu ni mpaka kati ya Mexico na Spain huko eneo la Melila.
a9c8bc1f0c6eeb11520f6a706700ce17.jpg
20197_melilla-border-holds-firm-as-1-000-attempt-to-enter-spain-from-morocco_1_large.jpg
MIGRANTS.jpg
images
images
melilla_refugees.jpg.size.xxlarge.letterbox.jpg

huyu anashangilia baada ya kufanikiwa kuuvuka mpaka wa melila
images
543ec93656809.jpg

cheki hawa jamaa wanajipongeza baada ya kuvuka mpaka wa kutoka mexico kwenda Spain
images
images
 
Mkuu,
Thanks nilikuwa sijui ndo maana nikawa najiuliza kwamba mgahawani ingekuwaje ukihama kiti unakuwa nchi nyingine,halafu hii ya mpaka kupita katikati ya nyumba ni makusudi au?au ardhi hamna
Mkuu, acha nikupashe unaambiwa ktk nyumba hizo hata mita za umeme na maji zipo mbili mbili, kila mmoja analipia kodi ya nchi yake!!

Sasa hapo tu, wenzetu hawajafikia hapo ila baada ya kutafakari kiutu uzima na kutumia mantik za kimaisha!!
 
Sijui ardhi iliisha au makusudi

Nimepita sana kwa gari kutoka UK kwenda France ukipitia Belgium huwezi kuona mpaka ni nyumba zimeshikana tu. Nilikuwa napenda kunywa chai Mgahawa mdogo na ni upande wa Belgium gari nimepaki France ajabu lakini kweli
 
Hiyo kwa huku kwetu ngumu sana
 
Hiyo kwa huku kwetu ngumu sana

Kweli mkuu maana kwetu ni ngumu labda njia ya panya haha
Kama tungekuwa na uchumi mzuri nafikiri tungekuwa kama wao maana unaingia namanga bila kuona askari yoyote na port of entry inakuwa moja tu
 
Kweli mkuu maana kwetu ni ngumu labda njia ya panya haha
Kama tungekuwa na uchumi mzuri nafikiri tungekuwa kama wao maana unaingia namanga bila kuona askari yoyote na port of entry inakuwa moja tu

Sijawahi pia kwa gari au miguu hivi mipaka yetu imechorwa?
 
Hivi Mexico na Spain zimepakana??????????????????????

Mkuu @moduke na salamander , nakubali kurekebishwa siku zote nikikosea , it waz simply what we call TYPO.... lakini nilidhamiria kuandika kuwa ni mpaka kati ya Morocco na Spain katika eneo la Mellila. Ila nadhani mmeweka sawa .

Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.
 
Usione wamefikia hapo kwa utaratibu,wamepigana na kuuana miaka kibao hadi wakaona haina maana tuwe na amani. Sasa na sisi hadi tuvunje ukabila,udini,ulowasa wa rushwa kutuona sisi sio wazalendo wao kwanza wanaomnunua, utatamani kwa wengine,lakini nasisi tukitaka tunaweza kama tukiwa wazalendo halisi kuondoa ulowasa. Mbona ulaya hakuna matunda mfano ndizi,maembe,mbona hawana gesi,wanyama kama malandu anavyo tuuzia tembo wetu. Tukitaka twaweza lakini kwanza uzalendo na sio wachache na kununuliwa kwa kiongozi wetu. Tutumie akili sio mitumbo halafu unaanza kusifia vya wenzako wanaojua uzalendo.take care.
 
Back
Top Bottom