Mpaka umauti unamfikia Magufuli Je Mwigulu alikua na cheo gani? Kama hakua na cheo chochote basi mshapata jibu

Mpaka umauti unamfikia Magufuli Je Mwigulu alikua na cheo gani? Kama hakua na cheo chochote basi mshapata jibu

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
11,479
Reaction score
12,093
Magufuli pamoja na mapungufu yake yote alipenda watu waadilifu wasio na makandokando ndo maana alivyomstukia kondakta alimweka pembeni na kweli kondakta alikua team mtandao.

Je wakati Magufuli mpaka umauti unamfikia huyu Mwigulu alikua ana cheo gani katika serikali ya Magufuli?

Kama alikua ameshamweka kando basi huyu jamaa yenu kuna kitu kiufupi ni team mtandao
 
Alitenguliwa miezi 6 baada kutoka uwaziri wa ndani kama sikosei.
Baadae aliteuliwa tena .Tena aliapishwa kwenye hoteli ya JJ Chato .Aliteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
 
1. Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Kipindi: Desemba 2015 – Juni 2016.

2.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Home Affairs)
Kipindi: Juni 2016 – Julai 2018

3.Waziri wa Katiba na Sheria
Kipindi: Mei 2020 – Machi 2021
 
Ila usiamini kabisa viongozi waliowahi kutokea kwenye hii nchi.
Wote ni Mafisadi
Majizi.
Matapeli.
Wala Rushwa.
Wakwepa kodi nk.

Nchi imejaa Uchafu Mkuu
Taifa Limeoza.
 
1. Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Kipindi: Desemba 2015 – Juni 2016.

2.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Home Affairs)
Kipindi: Juni 2016 – Julai 2018

3.Waziri wa Katiba na Sheria
Kipindi: Mei 2020 – Machi 2021
Mkuu , alafu hizo 👆 wizara hana taaluma Nazo kabisa , mfano #3.
 
Back
Top Bottom