Mkuu hivi utaratibu wa kutoa pesa za mstaafu kutoka hazina upoje? Anapata kwa mkupuo au anapewa kidogokidogo?Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?. Tuna maisha magumu na pensheni ndiyo tegemeo letu ili maisha yasonge mbele. HAZINA ifanye hima ili tupate pensheni zetu.