badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,118
Lucky enough.
Hakuna ndugu yangu zaidi ya mimi huku. Ukoo mzima mimi peke yangu ndo nipo huku.
Nina uhakika asilimia bilioni moja.
ahh wapii mdogo wako hapa nakuchora tu daily
Lucky enough.
Hakuna ndugu yangu zaidi ya mimi huku. Ukoo mzima mimi peke yangu ndo nipo huku.
Nina uhakika asilimia bilioni moja.
Heheheh funguka mkuuu maana kuna MTU alimuanika mpaka nikamuonea huruma hahahahah eti kana kikwapa kigumu kama kanaoshea jiwe sijui nilicheka yule Dada duuuu nahisi huyo kubwa la maadui feki alijuta kuijua Jf that day
what makes u see things that way??
Hahahahaaaaaa! Ngoja niishie hapo!coz im sure....
I'm a realist my dear....don't you know that?
DONT WASTE YOUR ENERGY SWEET! Party nyingine ni end of July nakuja tena! IF IT MAKES THEM SLEEP AT NIGHT WHY NOT? Uzuri wanao niattack woteee THEY DONT DAREEE KUJITOKEZA HADHARANI! You are smart and you know WHY!ulimwamini yule mtu....
what she was saying was full of lies
Karibu wayego....
Hahahahaaaaaa! Ngoja niishie hapo!
hivi kesho ni mapumziko kazini?
didn't know.. I miss u
DONT WASTE YOUR ENERGY SWEET! Party nyingine ni end of July nakuja tena! IF IT MAKES THEM SLEEP AT NIGHT WHY NOT? Uzuri wanao niattack woteee THEY DONT DAREEE KUJITOKEZA HADHARANI! You are smart and you know WHY!
Acha wafu wa kwenye shadows wazike wafu wao! MTU ANAIGOPA HATA TASWIRA YAKE HAWEZI KUJITOKEZA? Not worth my effort!
Mmmmmmmmh! Jinsi nilivommbea , hadi nimestuka usingizini! Hahaaaaaaaa! Ntasutwa na mashujaa band!didn't know.. I miss u
Aisee ngoja nianze nisije nikachelewa zaidiPole tafuta na wewe usuuze rungu....
count me in hiyo July
that chick nimekuja kumsoma thread imeshafungwa wengine wakachukua maneno ka yalivyo. ila miss neddy hakuniangusha.halafu unajua alikuja na id nyingine sijui ka ulimsoma
hata sijui, baba riz si atangaze tu?!
Hahaaaaaaaa! I am happy for you! Ila ukianza kuniingilia anga zangu ndo unanikorofisha! Other wise i am really happy for you!Hahahaha...najua mdomo umekujaa ya kutoshaa
Hahaaaaaaaa! I am happy for you! Ila ukianza kuniingilia anga zangu ndo unanikorofisha! Other wise i am really happy for you!
Duh! Kumbe JF napo ni kama facebook,watu chini ya carpet(PM) mnafanya yenu.
sasa na hizi ID za uongo na avata zetu zisizo na kichwa na miguu unaanzaje kumtongoza mtu?
Yani unakuwa umevutiwa na nini exactly?!! Comments na thread zake au nini hasa?
We nitolee balaa hapa.....anga my foot.
Hujui wewe ni anga la kimataifa? napita muda wowote
Hahaaaaaaa! HUFAI HATA KWA MBOLEA! KWENDRAAAAAA! Na siachiki nakwambia! Uchochezi sio issue! Umbea umeniisha narudi kulala usingizi umenipitia ghafla! Adios Jf!