Mpaka sasa, Rekodi ya mapokezi ya Lisu ipo hivi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,891
MIKOA ILIYOVUNJA REKODI KWA KUMPOKEA TUNDU LISU MPAKA USIKU WA TARE 25/09/2020

1. MBEYA
2. MWANZA
3. IRINGA
4. KAGERA
5. SONGWE
6. NJOMBE
7. GEITA

MIKOA ILIYOONYESHA MBWEMBWE KATIKA KUMPOKEA TUNDU LISU MPAKA USIKU WA TAREHE 25/09/2020

1. MWANZA.
2. SONGWE (HASA HASA TUNDUMA)
3. MBEYA
4. GEITA
5. KAGERA

MIKOA ILIYOVUNJA REKODI KWA MAPOKEZI HAFIFU MPAKA USIKU WA TARE 25/09/2020

1. MOROGORO
2. DAR ES SALAAM
3. KILIMANJARO
4. ARUSHA
5. KIGOMA

MIKOA INAYOTARAJIWA KUVUNJA REKODI ZAIDI ENDAPO TUNDU LISU ATAPITA TENA
1. ARUSHA
2. KILIMANJARO
3. DAR ES SALAAM

MIKOA ITAKAYOVUNJA REKODI YA JUMLA MPAKA KUFIKIA 28/10/2020

1. MBEYA
2. MARA
3. MWANZA
4. ARUSHA
5. DAR ES SALAAM
6. KAGERA
7. IRINGA
8. GEITA

MAJIMBO MUHIMU YANAYOTAKIWA YAPITIWE TENA KABLA YA 28/10/2020

1. Jimbo la Mvomero, na Turiani Morogoro
2. Jimbo la Mikumi na Kilombero
3. Jimbo la Rungwe na Kyela
5. Jimbo la Bukoba mjini
6. Majimbo ya moshi mjini, hai, siha, mwanga na same mashariki.

KAMPENI ZIFUNGIWE JIJI LA MBEYA

Kwa mwaka huu Majimbo ya nyanda za juu kusini ni muhimu sana.

Halima Mdee apewe Backup ya kutosha, maana yupo hatarini.

Video hapo chini, ni wakazi wa MWANZA. HONGERA SANA KWA WANAMWANZA. Wabehja

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
 
Iringa si kweli.
Watu hawakuwa wengi pia uwanja ambao ulitumika ulikuwa mdogo.
 
Herili nilitaka kukupigia simu leo kama nisingeona uzi wako maana jana usiku ni Vile sikupata mda tu......usikae kimya hivo bro nyuzi zako zinamadini sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
MAJIMBO MUHIMU YANAYOTAKIWA YAPITIWE TENA KABLA YA 28/10/2020

1. Jimbo la Mvomero, na Turiani Morogoro
2. Jimbo la Mikumi na Kilombero
3. Jimbo la Rungwe na Kyela
5. Jimbo la Bukoba mjini
6. Majimbo ya moshi mjini, hai, siha, mwanga na same mashariki.
Kwann arudi maeneo ambako chadema imeonekana kushanikiwa Sana kama haya? Nadhani ni vema akajielekeza maeneo ambako ccm inajivunia zaidi
 
Maika yote ya uchaguzi akuna mgombea wa upinzani aliekosa mapokezi na kujaza watu ila mwisho wa siku ni kichwa chini miguu juu.
 
Back
Top Bottom