Mpaka sasa madiwani 5 wamehama CHADEMA Arusha.

Mpaka sasa madiwani 5 wamehama CHADEMA Arusha.

Siungi mkono suala la wao kupewa mpunga eti wahame nooooo. Kwa hiyo cdm walimpa Lowassa mpunga ahame ccm. Ni utashi wa mtu wa kisiasa.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Walimpa nafasi yakugombea ukulu!

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
Siungi mkono suala la wao kupewa mpunga eti wahame nooooo. Kwa hiyo cdm walimpa Lowassa mpunga ahame ccm. Ni utashi wa mtu wa kisiasa.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Kwani umeulizwa unaunga mkono au huungi mkono yaani ndo yale yale ya uzombi bungeni kila kitu unakurupuka kuunga mkono
 
Waende.....

Wengine watapata ridhiki hapo

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom