Mpaka sasa CCM imepoteza majimbo matatu.

Mpaka sasa CCM imepoteza majimbo matatu.

ipoteze na jimbo lake la uraisi hiyo ndio itakuwa habari ya kusisimua
 
Yule wa Segerea si aliiba maboksi ya kura mwaka ule au vipi!! Alitegemea atakuwa waziri kamili lakini akabaki waziri mdogo miaka yote.
 
Acha uongo Segerea hatujapoteza mahanga sio segerea kwanza alishapigwa chini na chama kwa hiyo hakuna kupoteza, hilo hata chadema wanajua ndio maana hakuna shamrashamra za kumpokea kama zilivyofanyika kwa Lembeli na Bulaya, huyu ni takataka maji ya chooni hayatakati hata kwa lolote, pole zake Caro aliyemuona mwanaume kidume

Kwa hiyo jk anateua maji ya chooni kuwa mawaziri ?aisee
 
Walipokuwa wanatufanyia dhihaka Bungeni na kuichakachua Katiba walituambia maoni ya walio wachache. Ngoja tuonyeshe uchache wetu. Walifikiri wanamdhalilisha Jaji Warioba, kumbe hawakujua watarudi kwetu kwa tuliomtuma mzee Warioba.
 
Na Lindi JIMBO la Mchinga WAMEMWIBIA KURA MWARABU MMOJA KWA JINA MEHBOOB YUSUF OSMAN ambaye wananchi walikuwa wanamtaka kwa udi na uvumba, walivyokasirika wameapa kuipigia kura CUF!! MWARABU alikuwa tishio sana kwa Said Mtanda ndo sababu akanunua kadi 2000 akazilipia akawachukua mamluki kibao akawapigisha kura. Wengine wametolewa Tandahimba na walikuwa wanasambazwa na mini bus ya kampuni ya Baraka Classic! JIMBO la Mchinga CCM kwaherini! !
 
Kule Mtama wamempitisha mzee wa bao la mkono, NAPE MOSSES NNAUYE aka Mwandosya! ! Wamemwacha anaependwa na wananchi Mr. MATHEW ambaye alikuwa mchezaji wa Yanga wa zamani!! Hapa Mr.IS HAQA MCHINJITA wa CUF lazima achukue JIMBO na bao la mkono halifungwi pale!!
 
Lindi Mjini; wanasema BARUANI hajafanya kitu hata kimoja lakini lazima wamrudishe madarakani kwa sababu huyo Kaunje watu ha wamfaham!! Wananchi walikuwa wanamtaka Jarufu wa BOT
 
Sio ubunge tu adi kitu cha urais imepoteza
 
SEGEREA NA KIGAMBONI hayo walishayapoteza kabla ya uchaguzi
NDUGULILE hana alilofanya kwa wakazi wa KIGAMBONI NA KATA ZAKE ZOTE kabla ya kugawiwa kua na jimbo la mbagala
SEGEREA makongoro asingeshinda maana watu wamemchoka sana na jeuri yake na dharau zake lingine ni
UKONGA yule marehemu mwaiposa bora alivyokufa tu mana watu hawakumtaka hata kidogo UKAWA wakisimama vizuri wanachukua yote hayo bila kupingwa
 
Acha uongo Segerea hatujapoteza mahanga sio segerea kwanza alishapigwa chini na chama kwa hiyo hakuna kupoteza, hilo hata chadema wanajua ndio maana hakuna shamrashamra za kumpokea kama zilivyofanyika kwa Lembeli na Bulaya, huyu ni takataka maji ya chooni hayatakati hata kwa lolote, pole zake Caro aliyemuona mwanaume kidume
Hata mwaka 2010 Makongoro Mahanga na CCM ilibidi muibe kura na zilikamatwa kama siyo magoli yenu ya mkono na NEC yunu leo mbunge angekuwa Mpendazoe, sasa mwizi kawakimbia na anajua siri zenu kuwa hamuwezi kushinda hadi muibe
 
KATUNI%2BYA%2BDAIMA%2BAGOSTI%2B001.jpg

Nimeipenda
 
Mwaka huu unanoga kweli. Zaidi ya 60% ya mawakala wa CCM watakuwa wanalinda kura za El achilia mbali wale wa CDM. Patamu hapo!
 
CCM mpaka sasa imepoteza majimbo 3 baada ya waliokuwa wabunge wa majimbo hayo kuhamia upinzani. Majimbo hayo ni:Monduli,Kahama na Segerea
Hakika tena umesahau. Na Ole Medeye jimbo la arumeru mangharibi.na ataa asingehama jimbo hilo wakazi wake walisha apa kuipiga chini ccm .
 
Back
Top Bottom