Mpaka sasa CCM imelazwa chali mkoa wa Mara

Hii ni habari njema ila umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni sio conclusive evidence ya CCM chali mkoani Mara, determinant ni wapiga kura, na ili CCM ilale chali, hao wapiga kura wengi waipigie Chdema!. Makundi au umati wa watu kwenye kampeni sio kigezo cha ushindi!, nilihudhuria kampeni za Chadema kwenye uchaguzi mdogo majimbo ya Busanda na Biharamulo, kampeni za Chadema zilifunga funika bovu!, na CCM zilidorora hakuna mfano!, lakini kwenye matokeo, kote kuwili ni CCM ilishinda!. Hivyo mpaka sasa, inawezekana ikawa ni kweli mkoa wa Mara CCM chali, na inaweza isiwe!, tusubiri matokeo!.

Pasco.

Mara ni mkoa ulio na rasilimali nyingi sana,mbuga za wanyama na madini ya kila aina,lakini serikali imeutenga mkoa na kuusahau,kwahiyo leo hii unapoona wana mara wanajaa kwenye mikutano ya chadema si ajabu,kwani wameamua kupambana na serikali dhaifu inayoongozwa na ccm,mwana mara anapoamua kufanya kitu hamna wa kukizuia landa ukicheleweshe tu,muamko wa kujiandikisha ni mkubwa na sisi wananchi tuko tayari kuiondoa ccm madarakani bila kujali katiba yoyote ila tu tunachotaka ni ccm iondoke madarakani hata kama ni kwa mapanga bhita ni bhita mura
 
Hii ndo raha ya kuongozwa na viongozi wenye maono,na nina shawishika kusema tangu tanzania ipate uhuru kwa sasa ni mara ya kwanza musoma tumepata mbunge wale waliopita walikuwa hawana tofauti na makopo ya choo
 
Ccm iko taabani haina uhakika hata wa kupata mitaa asilimia 10

Hawa jamaa wapuuzi sana,yaani wakiona hawakubaliki wanatumia vitisho na kukubambikia kesi,kuna ndugu yangu alikuwa mwenyekiti wa bodaboda walimbambikizia kesi ya wizi wa kuaminika na akafungwa miaka kumi na tano
 
Wale mafisadi papa yatahifadhiwa na mabwana zao sasa wale wenzangu na mimi wakina vidampa wa lumumba sijui watakimbilia nchi gani,ukawa tunasubiri kuapishwa 2015 nchi yetu

Sijui ka george marato kataenda kuishi wapi maana bwana yake hana sifa ya kuongoza tanzania na kupewa uraisi fisadi papa yule
 
Mara ni mkoa ulio na rasilimali nyingi sana,mbuga za wanyama na madini ya kila aina,lakini serikali imeutenga mkoa na kuusahau,kwahiyo leo hii unapoona wana mara wanajaa kwenye mikutano ya chadema si ajabu,kwani wameamua kupambana na serikali dhaifu inayoongozwa na ccm,mwana mara anapoamua kufanya kitu hamna wa kukizuia landa ukicheleweshe tu,muamko wa kujiandikisha ni mkubwa na sisi wananchi tuko tayari kuiondoa ccm madarakani bila kujali katiba yoyote ila tu tunachotaka ni ccm iondoke madarakani hata kama ni kwa mapanga bhita ni bhita mura
Mwamko wa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha sio hoja!, uchaguzi wa 2010 waliojitokeza kujiandikisha ni watu milioni 20, waliojitokeza kupiga kura ni milioni 8!, na CCM ikachaguliwa kwa kura milioni 5 tuu!.

Bado nasisitiza kipimo cha "chali" ni matokeo ya kura na sio wingi wa umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni!.

Mpaka sasa silaha ambayo wana mara tunaiamini ni upigaji wa kura na takwimu zinaonyesha wana mara ambao huwa wanajitokeza kupiga kura ni wengi tofauti na mikoa mingine.Mbunge wetu nyerere huwa anasema na wananchi tumekubali yaani kabla hata waumini wa misa ya kwanza hawajamaliza kutoa sadaka tayari upinzani utakua umeshatangaziwa ushindi mapema kabisa.Na ukirudi kwenye historia ccm haijawahi kushinda kihalali wilaya mbalimbali za mara mara kadhaa walikuwa wakinunua ushindi kwa kuwahonga wapinzani,lakini upinzani wa sasa si wa enzi zile wa watu kuhongwa wauze ushindi.Ccm ina wakati mgumu na mimi hapa katika mtaa wangu mgombea wa ccm amejiungua mapema ili kufuta aibu itakayompata
 
Mwamko wa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha sio hoja!, uchaguzi wa 2010 waliojitokeza kujiandikisha ni watu milioni 20, waliojitokeza kupiga kura ni milioni 8!, na CCM ikachaguliwa kwa kura milioni 5 tuu!.

Bado nasisitiza kipimo cha "chali" ni matokeo ya kura na sio wingi wa umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni!.

Pasco.

Hii inawezekana enzi za abunuasi tu,kuwa na idadi ndogo ya wananchi wanaokuunga mkono alafu na bado ukatangaziwa ushindi dhidi ya watu wengi wasiokuunga mkono
 
Sijui ka george marato kataenda kuishi wapi maana bwana yake hana sifa ya kuongoza tanzania na kupewa uraisi fisadi papa yule

Sasa mtu kama GEORGE MARATO njaa zinamsumbua,ndo.maana kila siku kanatuandikia ugolo wa mabwana zake ccm hako tunatandika mapema nguvu ya umma haitomuacha mnafiki kama huyu mwandishi kanjanja
 
Sijui ka george marato kataenda kuishi wapi maana bwana yake hana sifa ya kuongoza tanzania na kupewa uraisi fisadi papa yule

Huyu GEORGE MARATO ananuka rushwa,nakumbuka mara kadhaa kalikuwa kakija halmashauri kananiomba hongo kwa kuniambia eti akirusha habari zangu kila siku kwenye tv raisi ataniona na atanipandisha cheo,huyu mtu ni rubbish hana akili
 
Hongereni, lakini wapiga kura wanafahamika, na sasa wamebandikwa kwenye mbao za matangazo!
 
Ccm imepigwa bao la kisigino kwa kukumbatia mafisadi na kufanya ufisadi kuwa sera ya chama chao
 
Mpaka sasa ushindi upo kwa zaidi ya asilimia 90,sasa ni wakati wa ccm kujipima na kuamua waachane na siasa au waamue kuwa upinzani 2015
 
Mkuu musoma mjini na BUNDA sio mkoa wa Mara rafiki bali hiyo ni sehemu tu ya mkoa wa Mara
Mie nipo Nyamongo wilaya ya Tarime
Je huku sio Mara?
Na je huku hakuna CCM kushinda?
Nadhani ulipaswa kutaja hizo sehemu ulizozitaja kuliko kusema mkoa wa Mara
Au sio mkuu?

Nyamongo si ndo kwenye madini au? kwenye ule mto uliotiririshiwa sumu kutokana na hayo madini yaliyo chini ya CCM?
 
Hii ni habari njema ila umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni sio conclusive evidence ya CCM chali mkoani Mara, determinant ni wapiga kura, na ili CCM ilale chali, hao wapiga kura wengi waipigie Chdema!. Makundi au umati wa watu kwenye kampeni sio kigezo cha ushindi!, nilihudhuria kampeni za Chadema kwenye uchaguzi mdogo majimbo ya Busanda na Biharamulo, kampeni za Chadema zilifunga funika bovu!, na CCM zilidorora hakuna mfano!, lakini kwenye matokeo, kote kuwili ni CCM ilishinda!. Hivyo mpaka sasa, inawezekana ikawa ni kweli mkoa wa Mara CCM chali, na inaweza isiwe!, tusubiri matokeo!.

Pasco.[/QUOT

Kaka hapa umenena vilivyo, tufanye utafiti hapa jamii forum kwamba ni wapinzani wangapi wamejiandikisha kupiga kura serikali za mitaa hapa hapa. Ngoja nitaanzisha uzi hapa tuone. Mimi nimejiandikisha nasikitika sana mke wangu alichelewa kujiandikisha huku kwetu hawakutangaza watu kkujiandikisha ila wajanja tulikuwa tukifatilia.

Na nitaenda kupiga kura
 
Wananchi tunapiga kura kwa uchungu kuiondoa serikali ya ccm isiyomthamini raia wake na badala yake ina mthamini na kumuogopa muwekezaji,wananchi wanateseka na sumu za migodoni huku serikali inachekelea pesa za kinyamela za wawekezaji(wakoloni)
 
Hii ni habari njema ila umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni sio conclusive evidence ya CCM chali mkoani Mara, determinant ni wapiga kura, na ili CCM ilale chali, hao wapiga kura wengi waipigie Chdema!. Makundi au umati wa watu kwenye kampeni sio kigezo cha ushindi!, nilihudhuria kampeni za Chadema kwenye uchaguzi mdogo majimbo ya Busanda na Biharamulo, kampeni za Chadema zilifunga funika bovu!, na CCM zilidorora hakuna mfano!, lakini kwenye matokeo, kote kuwili ni CCM ilishinda!. Hivyo mpaka sasa, inawezekana ikawa ni kweli mkoa wa Mara CCM chali, na inaweza isiwe!, tusubiri matokeo!.

Pasco.[/QUOT

Kaka hapa umenena vilivyo, tufanye utafiti hapa jamii forum kwamba ni wapinzani wangapi wamejiandikisha kupiga kura serikali za mitaa hapa hapa. Ngoja nitaanzisha uzi hapa tuone. Mimi nimejiandikisha nasikitika sana mke wangu alichelewa kujiandikisha huku kwetu hawakutangaza watu kkujiandikisha ila wajanja tulikuwa tukifatilia.

Na nitaenda kupiga kura
Katika mtaa wangu mpaka sasa mtendaji wa ccm kaogopa kujiandikisha na amepanga siku ya kupiga kura asafiri kwenda mwanza
 
Ccm haina pakutokea mimi ni mkazi wa musoma mjini na pia biashara zangu huwa nafanyia bunda kiujumla musoma mjini na bunda ccm haipo kabisa,na bunda wapo tayali kumng'oa wassira
Wamejiandikisha?
 
Back
Top Bottom