Mpaka sasa CCM imelazwa chali mkoa wa Mara

Hii ni habari njema ila umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni sio conclusive evidence ya CCM chali mkoani Mara, determinant ni wapiga kura, na ili CCM ilale chali, hao wapiga kura wengi waipigie Chdema!. Makundi au umati wa watu kwenye kampeni sio kigezo cha ushindi!, nilihudhuria kampeni za Chadema kwenye uchaguzi mdogo majimbo ya Busanda na Biharamulo, kampeni za Chadema zilifunga funika bovu!, na CCM zilidorora hakuna mfano!, lakini kwenye matokeo, kote kuwili ni CCM ilishinda!. Hivyo mpaka sasa, inawezekana ikawa ni kweli mkoa wa Mara CCM chali, na inaweza isiwe!, tusubiri matokeo!.

Pasco.

Kwanza kabisa wananchi wamekuwa wakitoa ushirikiano kwa viongozi wa chadema mfano musoma mjini si tu katika mikutano ya kampeni bali pia kwenye mikutano mbalimbali iliyokuwa ikifanywa yenye nia ya mrejesho wa utekelezaji wa ahadi,mara kadhaa watu wa mara wamekuwa wakisusia mikutano ya ccm hii ni kutokana na ccm imepoteza ushawishi kwa wananchi na hata kufikia kushindwa kutekeleza ahadi zao.Leo hii ukizungumzia mabadiliko huwezi ukaacha kutaja mkoa wa mara,huu ni mkoa ambao watu wameamka na kutambua haki yao ya kupiga kura na faida ya kuchagua kiongozi mwenye maono ya mbali ambaye kwa pamoja wakishirikiana wanaweza kupiga hatua.
 
Hapa mtaani kwangu ccm wamesimamisha mgombea anayetuhumiwa kuchukua wake za watu. Kuna guest inaitwa Meridian maeneo ya stand mpya bweri.
 
Sasa kamanda huyo mnamtandika mapema sana,yaani kiasi kwamba hata mgombea wetu akisema asipige kampeni bado atashinda tena bila kupingwa asubuhi kweupe
 
Mkuu musoma mjini na BUNDA sio mkoa wa Mara rafiki bali hiyo ni sehemu tu ya mkoa wa Mara
Mie nipo Nyamongo wilaya ya Tarime
Je huku sio Mara?
Na je huku hakuna CCM kushinda?
Nadhani ulipaswa kutaja hizo sehemu ulizozitaja kuliko kusema mkoa wa Mara
Au sio mkuu?

Kama wewe uko Nyamongo kwenye unyanyasaji mkuu wa Serikali kupitia mwekezaji wa hapo halafu bado unashabikia CCM wewe si mkurya na kama ni mkurya mrisha yori au msagani.
 
Anaitwa peter manka

Huyu jamaa si ndo yule alikuwa akitapeli watu kwa kujifanya mganga wa kienyeji anayewapa watu nyota ya utajiri kule buhemba,kaamua kuingia mpaka kwenye nyota za wake za watu mhh ccm ni kama ukoma weka mbali na watoto
 
kama mikutano ya ukawa serikali za mitaa iko hivi uchaguzi mkuu itakuwaje?

Kiukweli kwa Tz hii hatua inastahili pongezi, kwasababu hakuna mtu alikuwa na uelwa kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa una umhim,lakini kwa mara ya kwanza kwenye ngazi ya kijiji mwamko ni mkubwa!

Taratibu tutaelewana tu
 
Kama wewe uko Nyamongo kwenye unyanyasaji mkuu wa Serikali kupitia mwekezaji wa hapo halafu bado unashabikia CCM wewe si mkurya na kama ni mkurya mrisha yori au msagani.

Huyo ni mrisha
 
Tunataka mabadiliko ukawa
 
Kwanza kabisa wananchi wamekuwa wakitoa ushirikiano kwa viongozi wa chadema mfano musoma mjini si tu katika mikutano ya kampeni bali pia kwenye mikutano mbalimbali iliyokuwa ikifanywa yenye nia ya mrejesho wa utekelezaji wa ahadi,mara kadhaa watu wa mara wamekuwa wakisusia mikutano ya ccm hii ni kutokana na ccm imepoteza ushawishi kwa wananchi na hata kufikia kushindwa kutekeleza ahadi zao.Leo hii ukizungumzia mabadiliko huwezi ukaacha kutaja mkoa wa mara,huu ni mkoa ambao watu wameamka na kutambua haki yao ya kupiga kura na faida ya kuchagua kiongozi mwenye maono ya mbali ambaye kwa pamoja wakishirikiana wanaweza kupiga hatua.

Umenena vyema kamanda
 
Kama wewe uko Nyamongo kwenye unyanyasaji mkuu wa Serikali kupitia mwekezaji wa hapo halafu bado unashabikia CCM wewe si mkurya na kama ni mkurya mrisha yori au msagani.

Huyu ni msagani kabisa
 
Kiukweli kwa Tz hii hatua inastahili pongezi, kwasababu hakuna mtu alikuwa na uelwa kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa una umhim,lakini kwa mara ya kwanza kwenye ngazi ya kijiji mwamko ni mkubwa!

Taratibu tutaelewana tu

Muda wa ukombozi umetimia
 
Back
Top Bottom