Mpaka sasa CCM imelazwa chali mkoa wa Mara

uzinduzi wa kampeni za serikali za mitaa mkoa wa mara uliofanyika musoma mjini siku ya alhamisi ukiongozwa na mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara(mbunge wa jimbo la musoma mjini) kamanda Vincent Nyerere akishirikiana na mbunge wa nyamagana kamanda Wenje,uzinduzi ulikuwa ni wa kipekee na wenye mapokezi makubwa kwani mpaka sasa pamoja na kwamba ccm wanatumia pesa na vitisho kwa wagombea wa upinzani lakini bado hali yao ni mbaya sana katika mkoa wa mara.Mpaka sasa ukawa ikiongozwa na kamanda Vincent Nyerere wamefanya mikutano isiyopungua mitatu kwa kila siku katika vijiji na wilaya mbalimbali za mkoa wa mara,wananchi wamesema kamwe hawatoweza kuvumilia na kukumbatia uzembe unaofanywa na serikali ya ccm na kwa pamoja watahakikisha ccm haipati kiongozi hata mtaa mmoja.Vijiji ambavyo vimeshapewa elimu ya uraia na kupiga kura ni kata ya Etaro kijiji cha rukuba,kamnyonge,kijiji cha busamba etaro,kata ya mkendo,mara sekondari,bukanga.kesho ni zamu ya wakazi wa kamnyonge kupewa elimu itafuata kibuyi,shirati,tarime,Serengeti,butiama,bunda.

Peoplessssssssssss,......powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Dai haki yako mtanzania,tumia haki yako kupiga kura.....

Magamba yamebaki kula pilau tu na kupandishwa ma fuso kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani
 
Attachments

  • 1417974060353.jpg
    1417974060353.jpg
    99.3 KB · Views: 174
  • 1417974083440.jpg
    1417974083440.jpg
    62.9 KB · Views: 176
uzinduzi wa kampeni za serikali za mitaa mkoa wa mara uliofanyika musoma mjini siku ya alhamisi ukiongozwa na mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara(mbunge wa jimbo la musoma mjini) kamanda Vincent Nyerere akishirikiana na mbunge wa nyamagana kamanda Wenje,uzinduzi ulikuwa ni wa kipekee na wenye mapokezi makubwa kwani mpaka sasa pamoja na kwamba ccm wanatumia pesa na vitisho kwa wagombea wa upinzani lakini bado hali yao ni mbaya sana katika mkoa wa mara.Mpaka sasa ukawa ikiongozwa na kamanda Vincent Nyerere wamefanya mikutano isiyopungua mitatu kwa kila siku katika vijiji na wilaya mbalimbali za mkoa wa mara,wananchi wamesema kamwe hawatoweza kuvumilia na kukumbatia uzembe unaofanywa na serikali ya ccm na kwa pamoja watahakikisha ccm haipati kiongozi hata mtaa mmoja.Vijiji ambavyo vimeshapewa elimu ya uraia na kupiga kura ni kata ya Etaro kijiji cha rukuba,kamnyonge,kijiji cha busamba etaro,kata ya mkendo,mara sekondari,bukanga.kesho ni zamu ya wakazi wa kamnyonge kupewa elimu itafuata kibuyi,shirati,tarime,Serengeti,butiama,bunda.

Wana mara wasiishie kuhuzuria mikutano.......mkapige kura.mtupatie viongoz wa ukawa
 
watu wa Mara mna matatizo gani mbona mnapost ujinga wenu huku kila diku
 
Kete yao ya mwisho ni kuiba kura, kuwateka wagombea wa ukawa au kukimbia na masanduku ya kura

Huo nao utakuwa ni UJ.INGA mwingine kwa viongozi wa CDM kama ule UJINGA uliofanywa Meatu wa kuandika muhuri wa chama CDM, badala ya CHADEMA.

Tumeshajua kwamba ni KAWAIDA ya CCM pamoja na mambo mengine, KUTEKA wagombea wa UPINZANI pale hali ya ushindi inapokuwa ngumu (alifanya hivyo Mhe. Waziri Celine Kombani mwaka 2010, pale ushindi wake ulipokuwa mashakani).

Kama hilo tunalifahamu kwanini basi, kwanza tusiwawekee ULINZI wagombea wetu, lakini pili na MUHIMU kwanini wagombea wetu wasirudishe fomu zao mapema kwa wasimamizi wa uchaguzi kuliko kusubiri siku ya mwisho (zero hours) ili kama kuna kasoro i.e KUTEKWA iweze kuwa rectified!

Mimi nilishaona wasimamizi wa uchaguzi wakifunga ofisi zao na kuzikimbia siku ya mwisho ya kurudisha fomu za wagombea ili kukwepa kupokea fomu za wagombea wa UPIANZANI, ambao mwisho wake wagombea wa upinzani walienguliwa kwa madai kwamba hawakurudisha fomu katika kipindi klichotajwa. Wenzetu wa CCM huwa wanatonywa mapema kama kuna mpango huo hivyo wanarudisha fomu zao mapema.

Sasa kama hali ndiyo hiyo na viongozi wa CDM wanaifahamu, kwanini basi waruhusu huo mwanya wa wagombea wao kurudisha fomu zero hours (siku ya mwisho)?! Kama sio UZEMBE NA UKENGEUFU?!
 
[/B]

Makamanda tuko vizuri hakuna mtu wa ccm atakayethubutu kumteka mtu,ndo maana jana bado kidogo tuwatandike ngumi ccm waliotaka kutuletea ujinga hapa nyasho
 
nafarijika sana nnapopata habari kama hizi
 
nchi inakombolewa kutoka kwa mafisadi,nia ya mwalimu kutafuta uhuru ilikuwa siyo kumtoa mkoroni wa nje na kumpa nchi mkoroni wa ndani
 
Makamanda tuko vizuri hakuna mtu wa ccm atakayethubutu kumteka mtu,ndo maana jana bado kidogo tuwatandike ngumi ccm waliotaka kutuletea ujinga hapa nyasho

Pipitofitamu: Huenda huko Mara kweli makamanda mko VIZURI na hakuna mgombea atakayetekwa aidha kwa kurubuniwa na pesa au kwa nguvu ya vyombo vya dola na green guards.

Point yangu hapa ni kwamba kama huo ndiyo mpango wa CCM, believe me CCM haitaacha kuteka wagombea wa upinzani, kwanini basi CHADEMA wa play into CCM's hands?!

Kwanini CDM kama chama makini kinachojua MBINU ZOTE CHAFU za CCM kisitoe ratiba ya kurudisha fomu za wagombea wao nchi nzima. Mathalani CHADEMA ikatoa mwongozo kwamba wagombea wake wote nchi nzima WANATAKIWA wawe wamerudisha fomu zao kwa wasimamizi wa uchaguzi SIKU TATU kabla ya siku ya mwisho ya kurudisha fomu.

Hii itawapa mwanya CDM kama kuna makosa kama yale yaliyojitokeza Meatu, au wagombea wake KUTEKWA kuyafanyiwa kazi kabla ya siku ya mwisho ya kurudisha fomu. This is no brainer.

Hili la kuacha wagombea warudisha fomu siku ya mwisho (zero hours) eti kwa mategemeo kwamba there is nothing wrong will happen to them, ni ukosefu wa UMAKINI kwa kiwango cha hali ya juu kwa chama ambacho kinataka kushika dola.
 
Chama cha mapinduzi kimeawandaa walevi, mateja, na majambazi kuanzisha fujo ili chaguzi zisifanyike Musoma mjini na maeneo mengine Mkoani Mara, kwa kile kinachodhaniwa kushindwa vibaya Mkoani humo makatibu wa ccm wilaya zote na wakuu wa wilaya wameitwa ili kuanzisha zoezi Hilo,
Hali ya Chama hicho kikongwe nchini kina Hali mbaya kufuatia kukataliwa na wananchi wa mkoa wa Mara, tayari fedha za kufanikisha zoezi Hilo zimetawanywa wilaya zote, ni vizuri wafuasi wa vyama vingine vikajiandaa na kufichua njama hizo na kujitenga na njama kwani zoezi Hilo, linaratibiwa vyama kwa Msaada wa baadhi ya askari na vyombo vingine wenye mapenzi na Chama cha mapinduzi,
Kwa habari zilizotufikia jana vurugu zilizuka musoma mjini kwa ccm kuvamia eneo la mkutano wa Chadema na huko wakisindikizwa na polisi, baada ya kuona wanazidiwa nguvu waliamua kuongeza askari na kuomba mkutano usifanyike,
Mkurugenzi wa manispaa ambae ni msimamizi wa Uchaguzi ndg Ahmed Sawa amekiri kuwepo kwa fujo hizo na amesema atalifikisha suala Hilo kwenye baraza la kamati ya ulinzi na usalama la wilaya ili kuwakamata walioratibu zoezi Hilo.Taarifa kutoka kwa mdau jf mgeni wenu
 
Back
Top Bottom