Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,196
- 1,846
Ukijenga imani moyoni mwako kwamba Mungu ndiye muumba,hapana shaka utajua madhumuni ya kuumbwa binadamu.Jambo kuu ni kuwa na imani isiyonamashaka kwamba yupo na alimuumba binadamu .Reasonings za science zinahitaji facts wakati kweli hutoka kwa Mungu na facts hubadilika kufuatana na time lakini Truth haibadilikiMpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?
Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la mamilioni ya miaka ya mabadiliko ya viumbe (evolution), lakini hata nadharia hiyo haijajibu kwa kina chanzo halisi cha uhai.
Kwa upande mwingine dini nyingi duniani zinadai binadamu aliumbwa na nguvu ya juu Mungu. Lakini bado, maswali huibuka aliumbwa lini? Kwa nini? Na vipi kuhusu jamii zilizokuwepo kabla ya maandiko ya kidini?
Hali hii inaacha pengo kubwa la maarifa na kusababisha mjadala usioisha kati ya wana sayansi, wana falsafa, na waumini wa dini mbalimbali.
Na zaidi ya kutokujua tulikotoka, swali jingine kubwa ni Kwa nini tuko hai? Dhumuni la kuishi ni lipi?
Je, tupo hapa kuishi maisha mafupi, kufanya kazi, kuteseka, kufurahia kidogo, kisha kufa? Au kuna sababu kubwa zaidi kama kutimiza makusudi ya Muumba au kusaidia wengine na kuacha dunia ikiwa bora zaidi?
Maswali ya kutafakari:
Je, chanzo cha binadamu ni muhimu zaidi kuliko hatma yake?
Dhumuni la maisha linapaswa kutegemea imani, maarifa au uzoefu binafsi?
Tukiendelea kutafuta chanzo chetu, je, tutawahi pia kuelewa kikamilifu sababu ya kuwepo kwetu?
Ni hayo tu kwa sasa.
Binadamu hatujui vifuatavyo;Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?

Kujua ni nini? Utajuaje umejua na hufikiri tu kuwa umejua?Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?
Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la mamilioni ya miaka ya mabadiliko ya viumbe (evolution), lakini hata nadharia hiyo haijajibu kwa kina chanzo halisi cha uhai.
Kwa upande mwingine dini nyingi duniani zinadai binadamu aliumbwa na nguvu ya juu Mungu. Lakini bado, maswali huibuka aliumbwa lini? Kwa nini? Na vipi kuhusu jamii zilizokuwepo kabla ya maandiko ya kidini?
Hali hii inaacha pengo kubwa la maarifa na kusababisha mjadala usioisha kati ya wana sayansi, wana falsafa, na waumini wa dini mbalimbali.
Na zaidi ya kutokujua tulikotoka, swali jingine kubwa ni Kwa nini tuko hai? Dhumuni la kuishi ni lipi?
Je, tupo hapa kuishi maisha mafupi, kufanya kazi, kuteseka, kufurahia kidogo, kisha kufa? Au kuna sababu kubwa zaidi kama kutimiza makusudi ya Muumba au kusaidia wengine na kuacha dunia ikiwa bora zaidi?
Maswali ya kutafakari:
Je, chanzo cha binadamu ni muhimu zaidi kuliko hatma yake?
Dhumuni la maisha linapaswa kutegemea imani, maarifa au uzoefu binafsi?
Tukiendelea kutafuta chanzo chetu, je, tutawahi pia kuelewa kikamilifu sababu ya kuwepo kwetu?
Ni hayo tu kwa sasa.
Una kitu, naomba usikilizwe na utafika mbali sana.Ukijenga imani moyoni mwako kwamba Mungu ndiye muumba,hapana shaka utajua madhumuni ya kuumbwa binadamu.Jambo kuu ni kuwa na imani isiyonamashaka kwamba yupo na alimuumba binadamu .Reasonings za science zinahitaji facts wakati kweli hutoka kwa Mungu na facts hubadilika kufuatana na time lakini Truth haibadiliki
Kitendo tu cha wewe kujibu maswali ya mleta mada kwa maswali tayari chadhihirisha ulishafikiri na ushajua.Kujua ni nini? Utajuaje umejua na hufikiri tu kuwa umejua?
Utajuaje unapofikiri hujajua, ushajua tayari ila hujajua tu kuwa ushajua?
Yote ni muhimu kwani kila binadamu ana dhumuni binafsi na la jumla.Dhumuni la maisha linapaswa kutegemea imani, maarifa au uzoefu binafsi?
Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?
Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la mamilioni ya miaka ya mabadiliko ya viumbe (evolution), lakini hata nadharia hiyo haijajibu kwa kina chanzo halisi cha uhai.
Kwa upande mwingine dini nyingi duniani zinadai binadamu aliumbwa na nguvu ya juu Mungu. Lakini bado, maswali huibuka aliumbwa lini? Kwa nini? Na vipi kuhusu jamii zilizokuwepo kabla ya maandiko ya kidini?
Hali hii inaacha pengo kubwa la maarifa na kusababisha mjadala usioisha kati ya wana sayansi, wana falsafa, na waumini wa dini mbalimbali.
Na zaidi ya kutokujua tulikotoka, swali jingine kubwa ni Kwa nini tuko hai? Dhumuni la kuishi ni lipi?
Je, tupo hapa kuishi maisha mafupi, kufanya kazi, kuteseka, kufurahia kidogo, kisha kufa? Au kuna sababu kubwa zaidi kama kutimiza makusudi ya Muumba au kusaidia wengine na kuacha dunia ikiwa bora zaidi?
Maswali ya kutafakari:
Je, chanzo cha binadamu ni muhimu zaidi kuliko hatma yake?
Dhumuni la maisha linapaswa kutegemea imani, maarifa au uzoefu binafsi?
Tukiendelea kutafuta chanzo chetu, je, tutawahi pia kuelewa kikamilifu sababu ya kuwepo kwetu?
Ni hayo tu kwa sasa.
KirangaKitendo tu cha wewe kujibu maswali ya mleta mada kwa maswali tayari chadhihirisha ulishafikiri na ushajua.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hata akipajua alipoingilia bado atakosa chanzo maana huyo aliyemfanya aingie naye aliingizwa na mwingine sasa hapo labda tungempata binadamu wa kwanza ndio angetueleza aliingia kwa kupenya kwenye tundu ganiUkipajua ulipoingilia utapajua ulipotokea
Wewe jamaa ni mtata sana,hakuna neno utashindwa kulijengea hoja na kubuni maswali ya kulipinga.Kujua ni nini? Utajuaje umejua na hufikiri tu kuwa umejua?
Utajuaje unapofikiri hujajua, ushajua tayari ila hujajua tu kuwa ushajua?
Kujua ni nini? Utajuaje umejua na hufikiri tu kuwa umejua?