Mpaka saa hii bado tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpaka saa hii bado tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eeka Mangi, Jul 19, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hivi jamani mpaka saa hii JK hajatoa tamko au hajaamka? Mimi nilitegemea pale Kisutu saa hizi David Jairo yuko kwenye msitari akisubiri kupanda Tdi ya polisi kuelekea Keko! Yaani hata hapo tunasubiri ushauri? Tanzania!
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Yuko kwenye birthdayparty subiri amalize 1
   
 3. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Hayo ni maamuzi magumu kwa JK.
   
 4. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na kweli basidei ni muhimu kuliko nchi yake. Labda anatafuta destination!
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Nadhani kampeleka mdogo wake HoneyMoon SA...ngoja akale bata kwanza!! Nyie kaeni na giza!! Kwani hukumbuki alisema kwamba Ngeleja sio tatizo, tatizo ni mvua??
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  So ina maana hawezi kufanya maamuzi haya. Basi kuna kazikweli kweli! I wish Shikh angekuwepo!
   
 7. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hili jambo gumu sana kwake, ataunda kamati kwanza na baada ya miezi sita itatoa ripoti kwa rais, ataipitia ripoti na baada ya miezi mitatu rais atafanya maamuzi magumu ya kumtoa kwenye hiyo wizara na kumpeleka kwenye wizara nyingine, hii ndio TZ zaidi ya uijuavyo, kazi ipo.
   
 8. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli sijui kwa nini hawabadilishi sheria kuwa kikwete asiwe muamuzi wa kuamua hukunmu bali kusaini tu ikisha pitishwa
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  watatudanganya kuwa masaa ya South Africa ni tofauti sana na hapa kwetu kwa hio kule bado ni usiku sana bado hajaamka au labda hakuna umeme!!!
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  jk ni unabled brain
  kiduku tu ndio anaweza
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  ''rais wangu bado hajatua SA, akitua nitamueleza hili jambo tutjadiliana halafu atatoa maamuzi'' TZ PM 18th July 6 pm.

  LABDA RAIS BADO HAJATUA.
   
 12. L

  Lorah JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yuko anatafakari amtoweje mshikaji wake kwenye soo...
  Mheshimiwa rais hiki ni kipindi kigumu sana kwako ,hasa baada ya rostam kumwaga manyanga
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwani kisha rudi toka south..
   
 14. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Enyi wadugu wa CCM, Anayejiona yuko swafi sana awe wa kwanza kumtupia jiwe JAIRO bwana, Amen
   
 15. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ameambiwa aeleza zile fedha zimepelekwa wapi kwa maana kwenye akaunti pale NMB zillingia halafu zikatolewa, Sijui itakuwaje atakapotaja akaunti za wakubwa ambazo zimeingiziwa mgao!
   
Loading...