S Seif al Islam JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 2,156 Reaction score 640 Jun 1, 2012 #21 Hata mimi hiyo ilinikuta nikiwa form six kuna binti namkumbuka hadinleo aliniambia atanikubalia akimaliza form six
Hata mimi hiyo ilinikuta nikiwa form six kuna binti namkumbuka hadinleo aliniambia atanikubalia akimaliza form six
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Jun 1, 2012 #22 Me niliambiwa mpaka tufahulu mtihani
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 528 Jun 2, 2012 #23 haukuwa na convincing power ndio maana walikuwa wanakutema. Elimum ya secondary ilikuwa inatosha kukuweza kula vichwa bila tatizo
haukuwa na convincing power ndio maana walikuwa wanakutema. Elimum ya secondary ilikuwa inatosha kukuweza kula vichwa bila tatizo