nakumbuka mama yangu kila mara alikuwa anatuambia sisi bado wadogo, kwa hiyo kila mkaka nilikuwa namwambia "mimi bado mdogo".................
wengine wakifikwa shingoni wananicharua............ "UZEE wote huo unajiita mtoto; unafikiri kuna kengele ya kukushtua umekua?"