hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene
Ni kwanini wanaume hawaoi wasichana waliowabikiri wanaoa waliobikiriwa na wenzao, labda tuambiane kuna siri gani hapo ukibikiri unaacha ukikuta aliebikiriwa ndio unaoa, kifupi kwa nini mnabikiriana?
Kitulizeni basi. Hamuwezi kuishi bila ngono??
Its a shame wanaojifanya good boys huishia pabaya. Labda ndo 'maktoub' hiyo. Good girls pia huishia kwa bad boys all their life.
Jirani yangu wa utotoni alikua mtulivu sana. Kaishia kuoa mdada ana watoto wa3 kila mmoja baba yake. Mdada kamzidi miaka mi4! What a waste... na anazinguliwaje ndani!
On the contrary, msela flan nae besti tangu utotoni, kashawazindua si chini ya wa3. Na mmoja alikua wa chuo kikuu mwaka wa mwisho. Yani kujitunza kote na bado akamwagwa.... sio sifa ila ni ukweli unaouma kiaina!
Mkuu wenye seal wapo sema wewe hujajua wanapatikana wapi.
Mkuu wenye seal wapo sema wewe hujajua wanapatikana wapi.
Ulitumia methodology gan ktk utafiti wako,sample space ilikuaje?
utilitarianism....maximize pleasure minimize pain...life goes on
tusi generalize, weng hawana bikra ila kuna wachache tena wa vyuo wanazo!!! nimeshuudia
Labda za Min-kabang!!!
Mkuu wenye seal wapo sema wewe hujajua wanapatikana wapi.