Mpaka iondolewe ndio wanatulia

Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene
Kitulizeni basi. Hamuwezi kuishi bila ngono??
 
Kitulizeni basi. Hamuwezi kuishi bila ngono??

Kwa kizazi cha leo kama hutaki ngono labda usiingie kwenye mahusiano. Ukishaingia kwenye mahusiano uwezekano wa kukwepa ngono upo kwa asilimia 20 tu. The only way to be safe ni kubaki singo....swali utakuwa singo maisha yako yote? Usiwe na familia? Sikatai wapo watu wanaoingia ndoani hawajazini lakini watu kama hao wako wangapi? Dhambi ilishateka ulimwengu tufanyeje sasa na sie ndo tupo ulimwenguni....
 
Kwa hiyo tumeamua kuhalalisha? Basi msilaumu kwa matokeo mabaya...kubebeshwa mimba na kutelekezwa, kuumizwa kihisia na mengineyo. Huwa tunabuna tulichopanda..!
 
Kwa hiyo tumeamua kuhalalisha? Basi msilaumu kwa matokeo mabaya...kubebeshwa mimba na kutelekezwa, kuumizwa kihisia na mengineyo. Huwa tunabuna tulichopanda..!

Sasa kama tunatakiwa tuvune tulichopanda kwa nini mzinifu mwenzangu unayakimbia mavuno yako? Inasikitisha kosa mmefanya wawili af mzigo anatwishwa mmoja tu. Ndio maana miss chagga anasema hamna maana kabisa. Na ni kweli hamna maana kwa kweli.....huwa natamani kuongea na wadogo zangu wa kike lakini kizazi cha smatfon aisee ni shidaaa. Laiti kama tungekuwa tunajaliwa ufahamu mapema....tatizo tunakuja kugundua baadae sana kwa tuliodhani ni kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali...
 
Last edited by a moderator:

Neno moja tu Khantwe."you're on the losing side" . Mkishakumbuka hilo mtajua mfanyeje..!
 
Last edited by a moderator:
ongea vizuri
 
Neno moja tu Khantwe."you're on the losing side" . Mkishakumbuka hilo mtajua mfanyeje..!

Ofcoz we are Eli79.... Tatizo huwa hatujui kwamba utafika wakati wa kuluzi....chezea pawa of luv weye. Mambo tunayofanya ili tuwin ndio hayo tunakuja kuyajutia baadae...mapenzi ni kama biashara tu...kwa mbinu zilezilec unaweza ukaula na kwa mbinu zilezile unaweza ukapotea kwenye ramani ndani ya dk mbili. Cha muhimu vijana wamrudie Mungu tu bas ndo usalama.....lakini kwa akili hizihizi za kibinadamu na mwili huu wa nyama mmmmhhh....bado sana.
 
Last edited by a moderator:
Hii sredi imenifanya nifikirie kumbe hata wangu hakuwa sealed du,ila ndo hivyo tulishazoea second hand au mitumba.

Mkuu sio peke yako. 90% ya Wanaume hiyo ndio reality yao.
 
Machek bob Ndo wanaowavutia zaid warembo hasa ujanani, na ndo uwa wanajiamini had kuweza kuwatoa bikra, magud boy Weng ni kama washamba flani ivi so kwa kipindi cha ujana wasichana uwa hawawapend kabisa

umenena kweli kabisa
 
Ni kwa nini brenda 18..kwanini sisi good/decent man mnatudiss..why u like people who treat u rough..?!

Kiukweli at that foolish age decent guys are just boring..hata kukiss inakuwa dhambi ndo maana tunaenda rough way have fun ya kila aina...tukitaka kutulia ndo gud guys tunawatafutaπŸ˜‰
 
Kiukweli at that foolish age decent guys are just boring..hata kukiss inakuwa dhambi ndo maana tunaenda rough way have fun ya kila aina...tukitaka kutulia ndo gud guys tunawatafutaπŸ˜‰
Hao gud guys mnawatafuta wengine mkiwa na watoto eeeeh!
 
Hao gud guys mnawatafuta wengine mkiwa na watoto eeeeh!

Yes wengine fate zao zipo hivyo..wengine hawatakua na watoto but still alishafyatua wengi..kila mtu na story ake
 
Mmmmh! ni shidaaaa

But still wapo so many good dadas out there it's sad to see this generalization..as much as there are gud guys there are gud ladies...so msiogope lol
 
But still wapo so many good dadas out there it's sad to see this generalization..as much as there are gud guys there are gud ladies...so msiogope lol
Sasa kama bikira mnawapelekea macheckbob halafu viporo ndo tule gud guys sio fair kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…