Mpaka India Wahindi wanamkubali Rais Magufuli

Mpaka India Wahindi wanamkubali Rais Magufuli

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,777
Hiki ni kitu cha kujivunia sana Watanzania...



Screenshot_20191130-002332.jpg
 
India nzima yamkubali JPM....Habari kubwa katika gazeti la HABARILEO

Gazeti la Lajiji limeandika...JPM hakunaga, wahindi waamua kuunga mkono msimamo wake

Gazeti la Tanzanite lkmeandika...Kasi ya Magufuli yatua India..wamtamani ainyooshe nchi yao

Jamvi la habari wameandika....Kasi ya JPM kutoka Tanzania mpaka India. Yapaa kwa kasi ya Jeti, Ulaya nako wampa mwaliko
 
Judging from their language and lack of knowledge of what 'research' entails, it is fair to conclude that these fellows are minimally literate:
- 'AFRICANS' MOST BELOVED PRESIDENT..., and yet they simply looked at Tanzania, if indeed they researched on African Presidents

- their President is very 'free style' president", whatever that means..."that we have 'never' seen before in any other country. Is this a compliment or is it a sarcastic dongo? It appears they are hilariously enjoying that joke!
Well,was their research focused on finding an African leader with this particular attribute in exclusion of all other leadership qualities?

- how about a "president with principles 'without any haters'" Do you still believe these Indians are worth of regard?

I very much understand the drive behind the need for sharing of such a joke; especially by the 'dedicated, diehard self declared CCM member.

Ati "Hiki ni kitu cha kujivunia sana watanzania"! Itabidi uwadanganye wasioelewa.

But, alas, wouldn't one wonder about our own illiterates? Just sit back and enjoy the comedy.

Finally, now that we know we have 'lovers' from the 'Mbaazi' eating friends, will our farmers exploit that market to the full extent possible!
 
Wanatafuta subscribers hao sio bure, wamefanya kautafiti wamegundua kuna wimbi la watu wanaopenda upanafricanism kwa watu wenye asili ya Afrika wanaoishi umagharibini na Afrika.
Huoni sifa hiyo ikiwa hivyo? Afrika nzima hii wamchaguwe Rais Magufuli kupata subscribers? Kwa nini isiwe wewe au babu yako?
 
Kweli kabisa..
Na huku kukubalika kwa jpm huko India kutasaidia sana-sana kupunguza makali ya maisha kwa Watanzania.
"Asiye fanya kazi na asile" - Magufuli.

"Makali ya maisha" yako ulitaka mhindi aje kukutatulia?

Nnkushauri dada kama una fikra hizo tafuta tu mume wa kihindi.
 
Back
Top Bottom