Mpaka hapa tulipo,US ndio taifa linaloogopeka Duniani

Dawa pekee ni BRICS kuwa na agreement kwamba ukimugusa BRICS member yeyote umewagusa brics wote, yaani utachangiwa kama NATO ilivyo, hapo biashara ya USA itakua imekwisha na tutaenjoy sana multi polar world

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wapo mbali mbali sana.
 
Back
Top Bottom