Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,992
Mkuu maisha tunaishi kwa kutegemeana sasa mie nikipata hasara ntawezaje kulipa kodi, kulipa ada za watoto shule,j nk.umetisha asee , niombee uzima ili uzid kula hasara [emoji1787]
Mkuu maisha tunaishi kwa kutegemeana sasa mie nikipata hasara ntawezaje kulipa kodi, kulipa ada za watoto shule,j nk.umetisha asee , niombee uzima ili uzid kula hasara [emoji1787]
sasa na mm nikilamba mchang , familia italelewa na nan ? badili ajira tusapotiane [emoji23]Mkuu maisha tunaishi kwa kutegemeana sasa mie nikipata hasara ntawezaje kulipa kodi, kulipa ada za watoto shule,j nk.
Russia ana eneo USA inaingia Mara 2 (square meter za means 17, millions) likiwa Ni eneo lenye madini na gas karibu zote ,likiwa pia na watu wachache mnoNa akawapora Shaba yote ya Alaska, hiyo kitu inamuuma sana Putin sema ujanja Hana!!
Uko sawa mkuu ingawa wa mtogole kama kawaida yao hawatakubali., Kwanza huko UKRAIN kapeleka kiduchu tu cha Nondo za Ukweli na matokeo yake yako wazi.Kwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu.
Pili nimejiuliza inakuwaje, Putin alitoa ahadi ya kumshughulikia kikamilifu yoyote atakae jiingiza kwenye hiyo vita kwa namna yoyote.
Lakini mbaka sasa US anaonyesha waziwazi ushiriki wake lakini sioni action yoyote Putin anayochukuwa kwa aliewaonya kujihusisha na vita hiyo.
Tatu najiuliza, kwanini US wanatoa taarifa ya kila kitu wanacho peleka Ukraine,Yani vifaa vya kijeshi.
Wanasema wazi kabisa, mwezi huu tunapeleka silaha flani,mweziujao tunapeleka silaha flani nakweli zinakwenda waziwazi bila kificho.
Sasa tushangae wote, kwanini nchi nyingine hawatangazi kumsaidia Putini kijeshi waziwazi?.
Kwanini hatakama wanamsaidia kwa kificho,kwanini US anawafuatilia na akiwataja kwamba wanamsaidia Putin wao wanakimbia haraka kwenye Media kukanusha kwamba hawajasaidia chochote.
Wanakataa kata kata, wanaogopa nini kusema ndio tunamsaidia bwana Putini kujilinda.
Mbona US wanatangaza wenyewe kwamba tunapeleka silaha na wanapelekakweli.
Inamaana hawa muhofii mtu yoyote. Kwanini?
Hapo sijaweka tukio la Taiwan sababu wote tunajua kilicho tokea.
Kwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu.
Pili nimejiuliza inakuwaje, Putin alitoa ahadi ya kumshughulikia kikamilifu yoyote atakae jiingiza kwenye hiyo vita kwa namna yoyote.
Lakini mbaka sasa US anaonyesha waziwazi ushiriki wake lakini sioni action yoyote Putin anayochukuwa kwa aliewaonya kujihusisha na vita hiyo.
Tatu najiuliza, kwanini US wanatoa taarifa ya kila kitu wanacho peleka Ukraine,Yani vifaa vya kijeshi.
Wanasema wazi kabisa, mwezi huu tunapeleka silaha flani,mweziujao tunapeleka silaha flani nakweli zinakwenda waziwazi bila kificho.
Sasa tushangae wote, kwanini nchi nyingine hawatangazi kumsaidia Putini kijeshi waziwazi?.
Kwanini hatakama wanamsaidia kwa kificho,kwanini US anawafuatilia na akiwataja kwamba wanamsaidia Putin wao wanakimbia haraka kwenye Media kukanusha kwamba hawajasaidia chochote.
Wanakataa kata kata, wanaogopa nini kusema ndio tunamsaidia bwana Putini kujilinda.
Mbona US wanatangaza wenyewe kwamba tunapeleka silaha na wanapelekakweli.
Inamaana hawa muhofii mtu yoyote. Kwanini?
Hapo sijaweka tukio la Taiwan sababu wote tunajua kilicho tokea.
Yes!, nakubalia na wewe mkuu mashoga walaaniwe popote walipo.Na mashoga sio wanaume
Kabisa,hii vita ya Ukraine inaonyesha live ubabe. wa US.Na akawapora Shaba yote ya Alaska, hiyo kitu inamuuma sana Putin sema ujanja Hana!!
USA ndo kilanja wa dunia..,huu ni ukweli mchungu hambao wavaa vipedo hawapendi kuusikia [emoji848]Yes!, nakubalia na wewe mkuu mashoga walaaniwe popote walipo.
Now let's get back to the topic!.
Kwa nini wanao isaidia Urusi silaha za kivita wanafanya siri, na wakiulizwa Wanakataa, wanaogopa nini.
Mbona US yeye anatangaza live misaadayake ya kijeshi Ukraine.
Kwani?.
Ushawishi naona kama upo upo kwa 75%, Kuna nchi nyingi zinaangalia anachofanya nawao wanaelekea huko.USA is a sick oldman. Hana rais hana ushawishi, hana lolote lile.
Copied mkuu, hebu fafanua kidogo, wakitangaza waziwazi kama US, na kwa wanao fanya siri inasaidia nini katika technic za vita.Kukataa kwao Iran na North Korea kwamba hawajapeleka Silaha kwa Urusi, hiyo pia ni moja ya Technic na ujanja katika tasnia ya Vita halisi pamoja na vita ya Maneno.
Na kutangaza kama anavyotangaza USA hiyo nayo ni Technic yake.
Chamsingi ni kuangalia wenye technic gani watashinda.
jiulize uliijua Javelin ? kisha ndo useme nan mpiga kelele , MABEBERU WAHUNI SANA WANAONGEA MAMB CONMON KIAS WAJINGA WANAWAONA NI WA KAWAIDA ILA KIUKWEL WANA PROJECT HATUZIJUIKuna siri zinzofanywa na Mataifa ya Kikomunisti, na likija la kutokea Madhara yatakuwa Makubwa na hatimaye U.S.A atashindwa.
Hizo ni Technic za Kikomunisti.
USA anaongea na kutangaza sana, ila kimyakimya washirika wenzake NATO wanampinga hawapendi anachofanya kwa ukimbelembele wake.
Kila kitu ni Mipango, utakapofika wakati wa kila kitu kuwa wazi basi hakutakuwa na siri tena.
Kama kuna Mataifa yana upinzani, basi jua kuwa kila taifa litakuwa na project zake za silaha hatari na Modern.jiulize uliijua Javelin ? kisha ndo useme nan mpiga kelele , MABEBERU WAHUNI SANA WANAONGEA MAMB CONMON KIAS WAJINGA WANAWAONA NI WA KAWAIDA ILA KIUKWEL WANA PROJECT HATUZIJUI
Halafu leo russia anajifanya kumvimbia kaka yake.Hapana shaka chief. USA inatisha. USA ndo alimwokoa USSR mikononi mwa ujerumani kwa kuwapa siraha kali
Mkuu kwanini usipeleke hii fursa ubalozi wa Russia ili kuyauza majeneza Russia, watu wanapukutika saana huko.Mie sina shida na ajira za ualimu nina biashara yangu kubwa ya majeneza ambapo napiga hela mpaka 7m per month.
Nikuombe tu ikitokea umekaribia kufa waambie ndugu zako waje niwauzie jeneza lako kwa bei ya punguzo