Mpaka hapa tulipo,US ndio taifa linaloogopeka Duniani

Mkuu kwanini usipeleke hii fursa ubalozi wa Russia ili kuyauza majeneza Russia, watu wanapukutika saana huko.
Ni kweli huwa natamani sana kuexport mzigo nje ya mipaka lakini tatizo ni uhakika wa masoko mkuu.
Mfano kuna kipindi niliona hapa Dom biashara sio nzuri nikaamua kuvuta mkopo bank ili nikafungue brach Dar na Zanzibar lakini kilichonikuta sintokaa nisahau!
Biashara iligoma hasa Zanzibar misiba mingi ilikuwa ni ya waislamu tu yaani unakata miezi mitatu umeuza jeneza moja au mawili tu tena kwa kutumia madalali ilifika mahali pesa ya kodi na mshahara wa kumlipa kijana ikashindikana nikaamua kufunga kijiwe.
Mpaka sasa nimeamua nikomae tu na hii office ya Dom na Dar angalau nina uhakika wa soko hasa msimu huu wa mwisho wa mwaka huwa mambo sio mabaya
 
Hapo Israel ya netanyau ndo inakuja kumaliza mchezo!
 
Vibaraka wa Super power mandonga wauliwa kherson

Russian-installed official killed in Kherson​

Just before Russia announced a withdrawal from Kherson, it emerged that a Moscow-installed official in the city had been killed.
Kirill Stremousov, the deputy head of Kherson, was said to have died in a car crash.
He was one of the most prominent faces of Russia's occupation, and had been seen by Ukrainians as a traitor.
Appearing in a video hours before his death, Mr Stremousov called Ukrainians "Nazis" and said Russia was in "full control" of the situation in the south.
Speculation had mounted over whether Russia would dig in around Kherson and try to defend against a long-trailed Ukrainian counteroffensive, but it appears it has opted for withdrawal instead.
lcimg-66acf9f8-4e52-4f19-ad99-e5c71a4d9197.jpeg
 
Kama kuna Mataifa yana upinzani, basi jua kuwa kila taifa litakuwa na project zake za silaha hatari na Modern.

Kuhusu kuzitumia kwenye uwanja wa vita basi ni technic watumie wapi!!! na muda gani!!!
Putin anaweza kutumia uwezowake wote alionao kwenye hii vita?.

Sababu anachangiwa na watu wenye uwezo.

Vita inaonekana itachukuwa muda mrefu, sijui kama alijipanga kwa vita ya muda mrefu.
 
Vita kama hii ni ngumu kwa putin kutumia uwezo wake wote. Hii Vita doesn't cover large area of world.

Kwahiyo ni vita ya kudhoofishana kiuchumi kati ya Putin na NATO.
 
Kakojoe ulale, ukweli unaujua, THE TRUE SUPER POWER IS RUSSIA, majibu ya ukweli unayo unaona dunia inavyo waya waya... Kaminya kidogo tu keshawachakaza sio ulaya wala africa, marekani atangoja sana
 
Kwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu.

Pili nimejiuliza inakuwaje, Putin alitoa ahadi ya kumshughulikia kikamilifu yoyote atakae jiingiza kwenye hiyo vita kwa namna yoyote.

Lakini mbaka sasa US anaonyesha waziwazi ushiriki wake lakini sioni action yoyote Putin anayochukuwa kwa aliewaonya kujihusisha na vita hiyo.

Tatu najiuliza, kwanini US wanatoa taarifa ya kila kitu wanacho peleka Ukraine,Yani vifaa vya kijeshi.
Wanasema wazi kabisa, mwezi huu tunapeleka silaha flani,mweziujao tunapeleka silaha flani nakweli zinakwenda waziwazi bila kificho.

Sasa tushangae wote, kwanini nchi nyingine hawatangazi kumsaidia Putini kijeshi waziwazi?.

Kwanini hatakama wanamsaidia kwa kificho,kwanini US anawafuatilia na akiwataja kwamba wanamsaidia Putin wao wanakimbia haraka kwenye Media kukanusha kwamba hawajasaidia chochote.
Wanakataa kata kata, wanaogopa nini kusema ndio tunamsaidia bwana Putini kujilinda.

Mbona US wanatangaza wenyewe kwamba tunapeleka silaha na wanapelekakweli.
Inamaana hawa muhofii mtu yoyote. Kwanini?

Hapo sijaweka tukio la Taiwan sababu wote tunajua kilicho tokea.
Naungana na wewe, japo tunajua Russia ikiamua kutumia Nuclear hakuna na Ukraine tena, its just kwamba kila nchi yenye nyuklia inaogopa kutumia nuclear.
Kwa sasa kwa teknologia Russia haongozi kweli kwa sabab hata silaha alizo nazo alikua ananunua chip Ulaya. Ndio maana ameona akiendelea kutumia silaha zake hii vita itamfilisi na wakat amewekewa vikwazo kuagiza chips.
Kwa uchumi bado hawezi kushindana na marekani hata kidogo, na sehem kubwa ya vita ni pesa.

Ila tulijua Russia ina stratergy, kwa sababu imepigana vita vingi na wanajeshi wake wengi wameenda kupata uzoefu Syria...ila inaonekana bado hawajiliandaa jeshi lao vizuri kama wapinzani wake.

Tulichokua tunakitaraji
 
Ok, sasa itakuwaje kama Ukraine akipata misaada ya kijeshi ambayo itamlazimisha Putin kupoteza majeshiyake kwa wingi na kunyang'anywa maeneo yote aliyo yateka.

Yani Zelensky akiweza kuwatimua warusi mbaka Crimea kwa nguvu ya misaada kutoka kwa US na NATO, itakuwaje,Putin atakubali?.
Hiyo hali ya kukimbizwa kimbizwa haitamchukiza kiasi cha kutumia uwezo wake wote?.

Putin atakubali kuvumilia hasara na aibu kama hiyo?

Kutokana na sababu zilizo pelekea hii vita, Putin atakubali kushindwa na kuwambia warusi tumejaribu tumeshindwa?then watamuona Shujaa' ama watamuona aliingiza nchi kwenye matatizo bila sababu?.

Hapo nawaza,Putin anauonaje mwisho wa hiivita hukombeleni ikitokea ameshindwa.

Ama ataamua kumaliza uwezowake wote hatakama utakuwa na hasara kubwa kwa maadui na kwake Ilimradi afe kiume?.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Kwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu.

Pili nimejiuliza inakuwaje, Putin alitoa ahadi ya kumshughulikia kikamilifu yoyote atakae jiingiza kwenye hiyo vita kwa namna yoyote.

Lakini mbaka sasa US anaonyesha waziwazi ushiriki wake lakini sioni action yoyote Putin anayochukuwa kwa aliewaonya kujihusisha na vita hiyo.

Tatu najiuliza, kwanini US wanatoa taarifa ya kila kitu wanacho peleka Ukraine,Yani vifaa vya kijeshi.
Wanasema wazi kabisa, mwezi huu tunapeleka silaha flani,mweziujao tunapeleka silaha flani nakweli zinakwenda waziwazi bila kificho.

Sasa tushangae wote, kwanini nchi nyingine hawatangazi kumsaidia Putini kijeshi waziwazi?.

Kwanini hatakama wanamsaidia kwa kificho,kwanini US anawafuatilia na akiwataja kwamba wanamsaidia Putin wao wanakimbia haraka kwenye Media kukanusha kwamba hawajasaidia chochote.
Wanakataa kata kata, wanaogopa nini kusema ndio tunamsaidia bwana Putini kujilinda.

Mbona US wanatangaza wenyewe kwamba tunapeleka silaha na wanapelekakweli.
Inamaana hawa muhofii mtu yoyote. Kwanini?

Hapo sijaweka tukio la Taiwan sababu wote tunajua kilicho tokea.
Kama kule syria asingekuepo mrusi saizi asaad kaishanyongwa
 
Ndio, nikweli kabisa.
Warusi walimsaidia sana Asaad kubaki madarakani mpaka Sasa,na walimlinda waziwazi bila kificho.

Alafu nasikia Marekani kunaeneo la Syria wamejikatia huko karibu na mpaka wa Iraq wanachimba mafuta na wakurd " I'm not sure," wajuzi wanaweza kuelezea hii.

Kwamba US waliwaonya Russia wasitie miguuyao huko na imekuwa hivyo.

Yani nikama Russia walivyo chukua Crimea kibabe miakaile na wapo mpaka Leo.
Ngoja tuone itakuwaje, yajayo yana maswali mengi.
 
USA is a sick oldman. Hana rais hana ushawishi, hana lolote lile.
Ila shangazi yako anatumia ARV za USAID, Mwanao anatumia Chandarua Cha Msaada. Akiugua malaria anapewa mseto.

Bibi yako na Wazazi wako tasaf ya wamarekani yasababisha waishi.

Wewe mwenyewe msaada wa marekani
 
Ok, sasa itakuwaje kama Ukraine akipata misaada ya kijeshi ambayo itamlazimisha Putin kupoteza majeshiyake kwa wingi na kunyang'anywa maeneo yote aliyo yateka.

Yani Zelensky akiweza kuwatimua warusi mbaka Crimea kwa nguvu ya misaada kutoka kwa US na NATO, itakuwaje,Putin atakubali?.
Hiyo hali ya kukimbizwa kimbizwa haitamchukiza kiasi cha kutumia uwezo wake wote?.

Putin atakubali kuvumilia hasara na aibu kama hiyo?

Kutokana na sababu zilizo pelekea hii vita, Putin atakubali kushindwa na kuwambia warusi tumejaribu tumeshindwa?then watamuona Shujaa' ama watamuona aliingiza nchi kwenye matatizo bila sababu?.

Hapo nawaza,Putin anauonaje mwisho wa hiivita hukombeleni ikitokea ameshindwa.

Ama ataamua kumaliza uwezowake wote hatakama utakuwa na hasara kubwa kwa maadui na kwake Ilimradi afe kiume?.
Kitu hicho US na Washirika wake hawawezi kufanya kwa sababu wanafahamu Madhara yatakayokuja kutokea. Inaweza ikapelekea Third World War
 
Kitugani hawawezi kufanya, kumsaidia Zelensky kuikomboa Crimea na maeneo mengine yote yaliyo tekwa na Russia?.
 
Kakojoe ulale, ukweli unaujua, THE TRUE SUPER POWER IS RUSSIA, majibu ya ukweli unayo unaona dunia inavyo waya waya... Kaminya kidogo tu keshawachakaza sio ulaya wala africa, marekani atangoja sana
atangoja nini. i nachojua hela ya PUTIN sjui rubo ni takataka,
 
Kwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu.

Pili nimejiuliza inakuwaje, Putin alitoa ahadi ya kumshughulikia kikamilifu yoyote atakae jiingiza kwenye hiyo vita kwa namna yoyote.

Lakini mbaka sasa US anaonyesha waziwazi ushiriki wake lakini sioni action yoyote Putin anayochukuwa kwa aliewaonya kujihusisha na vita hiyo.

Tatu najiuliza, kwanini US wanatoa taarifa ya kila kitu wanacho peleka Ukraine,Yani vifaa vya kijeshi.
Wanasema wazi kabisa, mwezi huu tunapeleka silaha flani,mweziujao tunapeleka silaha flani nakweli zinakwenda waziwazi bila kificho.

Sasa tushangae wote, kwanini nchi nyingine hawatangazi kumsaidia Putini kijeshi waziwazi?.

Kwanini hatakama wanamsaidia kwa kificho,kwanini US anawafuatilia na akiwataja kwamba wanamsaidia Putin wao wanakimbia haraka kwenye Media kukanusha kwamba hawajasaidia chochote.
Wanakataa kata kata, wanaogopa nini kusema ndio tunamsaidia bwana Putini kujilinda.

Mbona US wanatangaza wenyewe kwamba tunapeleka silaha na wanapelekakweli.
Inamaana hawa muhofii mtu yoyote. Kwanini?

Hapo sijaweka tukio la Taiwan sababu wote tunajua kilicho tokea.
Mbaya zaidi Putin ili kupiga hela amewaingiza mkenge nchi kibao kumbe S400 hamna kitu. Wa Irael walishasema waliichapa moja Syria na F35 wakasema oooh ailikwa bado haijawa " activated sasa ukweli umejulikana.
Labda ije s1000.

Na US alisema anatuma mtambo ambao ni mojwapo zinazolinda Jumba Jeupe na kweli zimefika Ukraine piaputin kafyata mkia kwenda kwenye G20. Biden kasema hata Putin akiwepo hana mpango wa kuonge nae ila anaenda.
 
Back
Top Bottom