Katika kile kinachoonekana kama laana ya kuchakachua kura moja mbunge wa shy mjini CCM Steven Masele hafurahii uheshimiwa wake katika jimbo lake huku wananchi wakionekana kumdharau masele ameshaitisha mikutano zaidi ya mitano na wahudhuriaji wanaweza kukaa katika darasa moja huku aliyechakachuliwa Shelembi wa CDM akiendelea na kesi mahakama ya H.mkazi shy
Anaendelea na kesi gani tena mkuu?
Ya kuchakachua matokeo
Kuwa na raha kwa binadamu mwingine unakupima vipi??? kwa attention anayopewa na watu? satisfaction ya mtu haitokani na attention,bali malengo aliokuwa nayo akigombea.....baadhi ya wabunge kukubalika its none of their business,mafao na marupurupu ya ubunge is what matters....na kwa mbunge aliyetangazwa mshindi kwa difference ya kura moja sioni kwanini akose raha.....!
Wapo wengi mwingine anayekabiliwa na hali hiyo ni MAKONGORO MAHANGA:spy: