KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Naomba kuuliza hawa MP's wa Lugalo kukaa barabarani kama traffic ni halali??maana naona wanawanyanyasa vijana wetu wanaoendesha Pikipiki kama bodaboda pasipokuwa na sababu za msingi!na kuwachelewesha kwenye shughuli zao!!
Mimi nauliza je wao kazi yao nikulinda barabara??kambi??au wapitao njia hiyo?Kama ni hivyo basi serikali ibadilishe njia ili vijana wetu waepuke na bugdha hii!!Inakuwa kama tupo kwenye nchi yenye karantiini ya kutembelea barabara zilizopo karibu na makambi ya jeshi!!
Hili ni jeshi la wananchi na siyo liwe jeshi lakusumbua wananchi!!Tunaomba wenye mamlaka husika waangalie hili kwa jicho laziada.