MP fires AK-47 during Jordanian parliament session!

MP fires AK-47 during Jordanian parliament session!

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge mmoja nchini Jordan alifyatua risasi ndani ya bunge baada ya kutokea mabishano kati yake na mbunge mwenzake ambaye ni Spika wa bunge.

Hata hivyo hakuna mtu aliejeruhiwa na imekuwa ni kawaida kwa Wabunge wa bunge la Jordan kushikana mashati na kurushiana ngumi.

Source: BBC swahili habari saa 3:00 usiku.

jordan_parliament_fight.jpg

A Jordanian MP opened fire on his colleague inside the Jordanian House of Representatives on Tuesday morning, following an argument during the parliamentary session.

According to Roya News, an Amman-based news service, MP Talal Al Sharif opened fire using a Kalashnikov automatic weapon on his colleague MP Qusai Dmeisi the inside of the House of Representatives on Tuesday.

Early reports from Al Ghad news, a Jordanian newspaper, Sharif opened fire using the AK-47 during a Foreign Affairs Council meeting at the House of Representatives, which lies in the Abdali area of Amman.

According to Al Ghad, it was not immediately clear why Sharif opened fire.

Although MP Sharif fired the AK-47, Deputy Qusai Dmeisi (Zarqa, 4th District) was also involved in a brawl in the Parliament earlier this week, when he tried to attack Yihya Saud (Amman, 2nd District) to prevent Saud from accusing Prime Minster Abdullah Ensour. As all parliamentary sessions are filmed, there is a video of the clash between the two MPs from earlier this week.

There is a long history of clashes in the Jordanian parliament, with many sessions having to be adjourned over violence.

CHANZO: http://www.albawaba.com/news/jordan-parliament-gun-519385

Bunge la Tanzania mbunge tu kukataa kutii amri KANDAMIZI ya Spika anatolewa nje je angefyatua risasi km huyu wa Jordan unadhani nini kingempata??
 
ukiwaruhusu hawa wa kwetu waingie na bastola ndani,kuna yule waziri anamiliki Smg ataua wapinzani
 
Kwahiyo inabidi mbowe aanze kuingia bungeni na bastora ili heshima iwepo au.?
 
MP fires AK-47 during Jordanian parliament session

Published September 10th, 2013 - 09:51 GMT via SyndiGate.info

An MP opened fire using a AK-47 on his colleague in the Jordanian House of Representatives in Amman on Tuesday. (Image for illustrative purposes, courtesy of The Jordan Times/Hassan Tamimi)
A Jordanian MP opened fire on his colleague inside the Jordanian House of Representatives on Tuesday morning, following an argument during the parliamentary session.

My Take:
Sugu udumu!!!!
 
Sugu adumu!!!!!
 
Huku kwetu hawaruhusiwi kuingia na vyuma, ingekuwa hivyo mbona njugu zingekuwa zilishafyatuliwa kitaaambo! Watu kwenye mikutano ya ndani ya vyama wanachomoa vyuma sasa iwe kule ndani ambako unaambiwa kaa na unatakiwa utii kiti bila shurti hata kama unaona uko sawa?
 
MP fires AK-47 during Jordanian parliament session

Published September 10th, 2013 - 09:51 GMT via SyndiGate.info

An MP opened fire using a AK-47 on his colleague in the Jordanian House of Representatives in Amman on Tuesday. (Image for illustrative purposes, courtesy of The Jordan Times/Hassan Tamimi)
A Jordanian MP opened fire on his colleague inside the Jordanian House of Representatives on Tuesday morning, following an argument during the parliamentary session.

My Take:
Sugu adumu!!!!!

Hahahaaaa wewe mzee wa Mbeya masopakyindi ngoja nikiingia bungeni 2015 halafu spika wa bunge awe ****** tutatafutana ubaya bure!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani siyo sawa kuruhusu watu wanaobishana kuingia bungeni na silaha. Hivi kama kwetu wangeruhusu unadhani ni nani angekuwa wa kwanza kufyatulia wenzake risasi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ambae angekuwa wa kwanza kurushia mwenzake risasi ni "yule yule" ambae huwa wa kwanza kutumia askari kuwashugulikia wenzake pale anapokuwa anaona amezidiwa Hoja!!
 
Hii inavyoonyesha ni jinsi gani wabongo tulivyo wajinga. Tunatumia udhaifu wa bunge la Jordan kutetea uhuni wa Sugu.

Jamii iliyoelimika haiwezi kushabikia Uhuni kama huu.
 
Mi nayashangaa Haya Maccm eti wanakazana kusema Cdm wanachafua bunge! Hawaoni huko Jordan?! Na bado ipo siku Ndugai atapigwa sana!
 
wakati anaingia bungeni walinzi walimuuliza, hiyo bunduki unaingianayo ya nn? Akawaambia naenda kupiga wanyama' kuna wanyama humu ndani...
 
Hii inavyoonyesha ni jinsi gani wabongo tulivyo wajinga. Tunatumia udhaifu wa bunge la Jordan kutetea uhuni wa Sugu.

Jamii iliyoelimika haiwezi kushabikia Uhuni kama huu.

Sio ujinga wala uhuni, aliyeleta hoja hapo ameonesha jinsi gani huko kwa wenzetu kulivyo hatari kuliko hapa kwetu. Na maana yake sio kwamba tushabikie lakini kumbuka kwamba mabunge yote ya vyama vingi hayakosi msuguano na mabishano makali hata kushikana mashati. Sisi hapa TZ tulishazoea bunge la chama kimoja na habari ya zidumu fikra za ....... Usitegemee bunge la vyama vingi kuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom