Muarobaini
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 215
- 73
Hahahaaaa wewe mzee wa Mbeya masopakyindi ngoja nikiingia bungeni 2015 halafu spika wa bunge awe ****** tutatafutana ubaya bure!
Mzee mwita maranya yani hili watu wengi wanaliongelea maana asingekuwa sugu tu watu wengi wamepania wkiingia bungeni yule ndugai au kiti wakisimamia upuuzi lile siwa lazima limtue kichwani ni afadhali ufe mbunge mmoja na sio mamilioni ya watanzania
Last edited by a moderator: