Yaaani hawa Moziila wako mbele na mbali zaidi . Yaani wana support vitu amabvyo hata taasisi inasyosimaia viwango na specifaction za WWW hawajapitisha
World Wide Web Consortium (W3C). Hii ndo wanaita Future proof technology. IE na competitor wengine wataipga bao Mozillla kwa kuwa
fast but kwa
features ni Mozilla tu .......
Nadhani hata
World Wide Web Consortium (W3C) wanatumia Mozilla kama benchmark kuu ya kupitisha recommendation ya standard za web