mozambique scholarship 2015/2016

mozambique scholarship 2015/2016

siimascovia

Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
30
Reaction score
1
waliochaguliwa Mozambique 2kutane hapa,na mwenye experience ya huko,,2juze.0762122817.
 
wale wa scholarship za somalia tukutane pia na sisi tupeane maexperience
 
nimesoma uko maisha ni magumu sana sitaki ata kusema chochote
 
nimesoma uko maisha ni magumu sana sitaki ata kusema chochote

Acha uongo we si juzi umesema umechaguliwa ifm ila hutaki kusoma. Leo hii unasema umesoma Mozambique?. Au ndio wewe yule tuliekuwa tunakula kwa mpemba wanakuita chips kuku
Jina lako linaanza na I
 
acha uongo we si juzi umesema umechaguliwa ifm ila hutaki kusoma. Leo hii unasema umesoma mozambique?. Au ndio wewe yule tuliekuwa tunakula kwa mpemba wanakuita chips kuku
jina lako linaanza na i

likikohozi limeshavurugwa...hilo dataless hata likijiunga bundle wanalipa kb 8
 
Back
Top Bottom