Kuitwa mtu mzima na uliyekomaa sio kitu rahisi...ni kwamba umepitia baadhi ya changamoto na kuweza kuzikabili,."Upendo hushinda kifo"...
Pole sana sana,.sisi watu wazima tulisha yaonja hayo kiasi yametukomaza,.kupenda hatuachi kupendana lakini kwa kiasi,ukiona unampenda mtu lakini hakurudishii ule upendo unao kustahili,.unamuacha kiutu uzima hivyo hivyo,.utaumia leo,kesho kukikucha maisha yanaendelea na unatafuta furaha nyingine..
Pole sana,.na mwisho;muda ndio muamuzi sahihi,.nikuambie tuu "HILO NALO LITAPITA"