Moyo wangu

Moyo wangu

Mwanaume hahachiki, ninawasi wasi na wewe unakujaje Jf kulalamika umeachika
 
Huwa nasisitiza kuumizwa n mara moja tu usikubali kuumia tena mkuu apo n utangulizi tu picha ndio linakwenda kuanza, kwenye mapenz hakunaga 50/50 tumia akili kuliko moyo afu unakuaje na mtu umtumii ??? Hayo maumiv sio ya kawaida na kama ujapiga usimtafte kabisa atatumia fursa hyo kukutesa na kukuumiza ,MUACHE AENDE MOVE ON
 
Ahsante mkuu nitajitaidi.kufanya ivyo
 
Mapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
Pole sana kuna maisha baada ya mapenzi . jifunze kumuacha aende wapo wengi wenye upendo nawe wanataman nafac kwko ila imezingwa na Huyo uliekuwa nae sasa wape nafac wengine uendelee na maisha vzuri
 
Pole sana kuna maisha baada ya mapenzi . jifunze kumuacha aende wapo wengi wenye upendo nawe wanataman nafac kwko ila imezingwa na Huyo uliekuwa nae sasa wape nafac wengine uendelee na maisha vzuri
Ahsante mkuu nimekuelewa
 
Daah asee hii ni hatar

ila swala la kwmba hii tabia y kupendapenda cyo nzuri c kila sku tunaambiwa mbna hatukomi?

Wanamusic kila sku wanatoa nyimbo mara mapenzi bac, mara sikupendi, mara nenda zako, mara mapenzi kichaka

Kwny movies, hadithi, stories kila sku zinatuambia

sasa cjui kwann hatuelew sisi viumbe
Hiv unafikir kupenda ni hiari. Huwa inakuja automtic unaanguka tu kwa bibie
 
Pole ,acha muda uongee kila kitu kitakua sawa soon
 
Mkuu pole sana kuna maisha lazima yaendelee bada ya kuachwa au kuachana kingine Mungu kaumba kusahau utamsahau hautaamini
 
Kuitwa mtu mzima na uliyekomaa sio kitu rahisi...ni kwamba umepitia baadhi ya changamoto na kuweza kuzikabili,."Upendo hushinda kifo"...

Pole sana sana,.sisi watu wazima tulisha yaonja hayo kiasi yametukomaza,.kupenda hatuachi kupendana lakini kwa kiasi,ukiona unampenda mtu lakini hakurudishii ule upendo unao kustahili,.unamuacha kiutu uzima hivyo hivyo,.utaumia leo,kesho kukikucha maisha yanaendelea na unatafuta furaha nyingine..

Pole sana,.na mwisho;muda ndio muamuzi sahihi,.nikuambie tuu "HILO NALO LITAPITA"
Bebe nimependa huo mstari wa pili mm
 
Tangu yanipate miaka 4 iliyopita sijawahi kupenda kwa dhati, nimebaki kupendwa ila me ndo kwanza napitia nikimchoka naacha..... Kupenda ni ujinga wa Standard gauge

Acha uoga hehehehehee
 
Acha uoga hehehehehee
nilipata ulcers kwenye mapenzi nikaona nikipenda tena ntapata ugonjwa wa moyo wacha nivunje mifupa meno yangali yapo...... Siwazi kupenda zaid ya kutamani
 
Mm mwaka wa tano yananitesa nimevumilia mengi kwa hy mwenzi wangu japo nampenda ila ukwelii hajanilip kabisaa mapenzi yangu mpk nampa mimbaa yn navyompendaa napata jofu sn moyoni kilaa muda nampigiaa nijuee yukoo wapi lkn yy pamoja na mimba yak ni nadraa na kilaa jikijitahid ht nijikizaa nisimpigiee kufichaa hisiaa zangu inakuwa ngumu yn moyoni bd naumiaa lkn kwa yalee aliyonifanyiaa nyumaa kwa kwelii nahitaji tuzo ilaa bd sifurah mapenzi yetu nahisi bd tu anahangaika sijuii hii shida moyon itaishaa lini mimi acha tu nipambanee kutwaa kumuazaa yy inanikeraa sn ilàa na wivu naee sio kawaida jmn
 
nilipata ulcers kwenye mapenzi nikaona nikipenda tena ntapata ugonjwa wa moyo wacha nivunje mifupa meno yangali yapo...... Siwazi kupenda zaid ya kutamani
Ipo siku utanasa tu moyo mashine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom