Moyo wangu unauma sana

Duuuh , hatari ila tuache masihara , kutapeliwa kunaumaa aisee
Uyo ajakutana na wauni, kuna jamAA aliwah nitapel simu rafiki yangu kipindi iko tach ndo zinaingia mi niikuwa na nokia fulani kali inabattn na touch mtaa mzima nd nilikuwa nayo yule jamaa akaniazima apige akala kona, nikawafuata wauni wangu nikawapa malalamiko oya tulikua tag kama mtu kumi tunamtafuta yule jamaa pita maskani zake zote tukaacha ujumbe mbona ilirudi ile simu chap u
 
Samehe na umuachilie moyoni mwako kwa manufaa yako binafsi hasa kiafya.

Iache gadhabu ya Mungu itamshughulikia.
 
Wakifa utapata faida gani? Fikiri Mara mbili kabla hujafanya Hilo azimio lako...ni Mara kumi umfanyizie akiwa mbele za watu ni full kujamba Kama nyegere
 
Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende eeeh nenda ngende huko lindi japo matepeli wapo au kwa wakurya kuna mdau hapo juu kashauri.
Ngende huko ni noma sema Sasa matapeli watamuwahi. Yaani ykishuka tu Liwale watu wakiona sura ngeni akili Yao inaeatuma kuwa unaenda ngende Kwa bibi[emoji23]
 
Ujaluoni sehemu gani chief, nipe location mengine nitamaliza mwenyewe
 
Hata usihangaike kupoteza hela kwenda kwa waganga tena mkuu, kuna kitu inaitwa KARMA it's matter of time anarudi kwako analia kwa kusaga meno hakika hakuna rangi hataacha kuona
 
Mkuu!! Usiombe uliyemuamini
Ukampa kitu flani
Afu akaja enda tofauti na makubaliano
Inakata balaaa
Upo sahihi kabisa, nakubali hilo.

Ila ukikaa na hasira kifuani muda mrefu huku bado unakumbuka alichokufanyia utaishi maisha ya mateso mno, utakuwa umempa nafasi ya kukutesa.

Ila ukiweza kusamehe na kuendelea na maisha utakuwa umejifungulia milango mingine mizuri na hapo utairuhusu 'karma' iwalipe haki zenu nyote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…