Hili ni la kweli....Pole sn ndugu, wengi tunapitia changamoto hizo. Ila nikwambie tu kuna wataalam hapa Tz watu hawawajui, wao wanajua watu wa sumbawanga, Tanga, Zanzibar (Pemba), na kigoma lakini nakuhakikishia mkoa wa Mara ni balaa, kuna kabila moja la wajaluo, hao ni hatari na nusu. Km humu kuna watu wanaowafaham vizuri watathibitisha haya nayokwambia. Ukimpata huyo hutajuta ni hatari na nusu. Km una ndugu yako anaishi huko mueleze atakusaidia. Anyway, jarb kutafuta. Ningekupa connection lakini.......
Yaani mtu akudhulumu na wewe ujifungie ndani na kusali? Hata Mungu hatasikiliza sala zako. Anyways, mwanzisha thread anaonekana naye ni walewal tu kwani ametapeliwa halafu anataka kutafuta mtu wa kumtapeli zaidi.Uchawi mkubwa kuliko wote ni kujifungia chumbani na kusali kwanza kumsamehe na kumuombea toba. Muombee toba kila siku hadi upate amani kabisa. Ukifanya hivi siku moja utakuja na ushuhuda humu wa ajabu!
Tuliza kichwa mkuu, usipotulia hiyo process ya kutafutiwa mganga na kwenda kwa mganga utatapeliwa kwa mara ya pili.Habar wakuu
Kila nikikaa roho yangu inaniuma sana rafiki yangu niliemuamini yeye na rafkiake wamenitapeli ml. 4 cash
Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie
Asanteni.
Habar wakuu Mimi sijaja hapa kuomba ushauli nimekuja hapa kuomba nilichoomba mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivo asanteni
Bora umethibitisha, watu humu wangenitolea uvivu hatari. Hao Wajaluo ni habari nyingine.Hili ni la kweli....
Bora na wewe umethibitisha maneno yangu. Shida ni pale mhitaji akiwa na roho nyepesi matokeo yakianza kuonekana, maan kuna dawa zao nyingine ni hatari hadi taifa linaweza kupigwa butwaa. Ipo ile mlengwa akishaanza kutangulia ahera sasa kila ndugu atakae kuja msibani hapo anamlilia marehemu lazima na yeye afie hapo hapo muda huo huo. Kwa hiyo ndugu wasiposhutuka mapema ndugu watapukutika siku hiyo km kuku wa kideli. Sasa huyu akiambiwa matokeo km hayo ataweza kuvumilia au ataweza kuwaonea huruma.Hili ni la kweli....
Wale watu ni balaa hawavumi ila wamo mzee, nadhani ndio jamii yenye watu shupavu na akili kuliko jamii zote hapa Tz ila hawasemwi sana, wale na wamasai.....Bora na wewe umethibitisha maneno yangu. Shida ni pale mhitaji akiwa na roho nyepesi matokeo yakianza kuonekana, maan kuna dawa zao nyingine ni hatari hadi taifa linaweza kupigwa butwaa. Ipo ile mlengwa akishaanza kutangulia ahera sasa kila ndugu atakae kuja msibani hapo anamlilia marehemu lazima na yeye afie hapo hapo muda huo huo. Kwa hiyo ndugu wasiposhutuka mapema ndugu watapukutika siku hiyo km kuku wa kideli. Sasa huyu akiambiwa matokeo km hayo ataweza kuvumilia au ataweza kuwaonea huruma.
Tusiwachukulie watu poa. Kuna mikoa ni silent kila Ila haifahamiki.
Kwani huyo mganga utampa nnya au?sina mda huo tena wa kupoteza Hela nyingine
Sahihi kabisa. Huyu mwenzetu ndo maan nimemuelekeza huko.Wale watu ni balaa hawavumi ila wamo mzee, nadhani ndio jamii yenye watu shupavu na akili kuliko jamii zote hapa Tz ila hawasemwi sana, wale na wamasai.....
Hizi kabila nyingine ni janja janja tu.
Huwa hawana show mbovu.Sahihi kabisa. Huyu mwenzetu ndo maan nimemuelekeza huko.
Ila hao Wajaluo huwa wananiudhi tu kutokukata sweta (kutahiri). Wanaume 90% hawajatahili ha ha ha ha ha Ila ni watu wa kazi kweli kweli.
Kaka una utani xna[emoji28]Milion 4 unataka kuua wasio hsika Shm iyo si usd 1500 au tukuchangie hapa saiv tuokoe roho zisizo na hatia, anyway we samehe kwani tangu ziondoke izo Ml 4 unepungukiwa na kiungo chochote no pambana utapata zaid ya hizo
Uyo dawa yake aliwe tigo anatamaa za kishoga dawa ya tapeli mjaze tamaa akijaa atobolewe
Duuuh , hatari ila tuache masihara , kutapeliwa kunaumaa aiseeMilion 4 unataka kuua wasio hsika Shm iyo si usd 1500 au tukuchangie hapa saiv tuokoe roho zisizo na hatia, anyway we samehe kwani tangu ziondoke izo Ml 4 unepungukiwa na kiungo chochote no pambana utapata zaid ya hizo
Uyo dawa yake aliwe tigo anatamaa za kishoga dawa ya tapeli mjaze tamaa akijaa atobolewe
Heheheeee.......unataka kupoteza ukoo mzima?Habar wakuu
Kila nikikaa roho yangu inaniuma sana rafiki yangu niliemuamini yeye na rafkiake wamenitapeli ml. 4 cash
Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie
Asanteni.
Habar wakuu Mimi sijaja hapa kuomba ushauli nimekuja hapa kuomba nilichoomba mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivo asanteni
Acha upumbafu wewe. Mlishaambiwa kukopeshana mwisho 15,000 TZS. Zaidi ya hapo mtu akakope bank. Umeyatimba kweli kweli. Futa huo ujinga kabisa, yaani uue watu kisa milioni 4 . Ngumbaru mkubwa wewe.Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie
Unaonekana we ni wale Kula kulala bure hujui hata pesa inavyotafutwa.Milion 4 unataka kuua wasio hsika Shm iyo si usd 1500 au tukuchangie hapa saiv tuokoe roho zisizo na hatia, anyway we samehe kwani tangu ziondoke izo Ml 4 unepungukiwa na kiungo chochote no pambana utapata zaid ya hizo
Uyo dawa yake aliwe tigo anatamaa za kishoga dawa ya tapeli mjaze tamaa akijaa atobolewe