Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

dawa 3.
1. tafuta pesa
2. tafuta pesa
3. tafuta pesa
 
Acha "Babe I love You" kwa saana.
Kila wakati au daily unataka uonane na demu wako. Huyo ameshagundua utakuwa unamganda sana na wivu mkali, hapo sasa demu anajikataa zake.
Kuna mdada hapo juu kakuambia love yourself hajakosea fuata ushauri wake.
 
Ukpend kwel utakufa kila ck mkuu we kama manta kazngua piga kmya ck ikpt ajaktaft poah wk ikpt mwez ukapt mahuxian yameish mtot wa kiume unachezew akil na mtot wa kike eb bdlika mkuu acha kulia
 
Acha "Babe I love You" kwa saana.
Kila wakati au daily unataka uonane na demu wako. Huyo ameshagundua utakuwa unamganda sana na wivu mkali, hapo sasa demu anajikataa zake.
Kuna mdada hapo juu kakuambia love yourself hajakosea fuata ushauri wake.
Sawa mkuu, kama nina hayo mapungufu nitarekebisha, but kumbuka sinaga time ya kumhitaji kila wakat maana huwa nakuwaga busy sana nikitaka kumeet nae kwa muda mchache tu, we sema najaribu kupambana kutenga muda mchache sana. Maana hadi weekend kazi yangu inanikeep busy
 
Ukiona demu anakujibu short sana akati ni ishu sensitive jua hapo umeliwaa...Majibu kama K..sijui P...!! Jua hapo hakuna kituu alafu pia na wew inaonekana upo busy sana so pale anapokuhitaji wew haupo na wew ukipata muda yeye anaigiza. Kuwa busy hata kama hayuko ili mradi na wew ufeel kile anafeel..!!

Mwanamke ukiona kakuganda na Anakupenda sio kwamba hajui unacheat ila jua kakupenda kwelii...
 
Pole sana mkuu ila huyo hakupendi anae mwingine anaempa majibu ya kubembeleza hadi mbingu zinatabasamu...kifupi achana nae kabla hujaanza kujifungia huku ukilia...!
 
Jamaniii mapenzi hayalazimishwi kama unaona haelekei kaa chonjo kwani ulizaliwa na MTU? Kuishi tunaishi Mara moja sasa wewe lialia ufe wenzio waendelee kufaidi mema ya nchi,.tulia,omba kwa bidii mkuu mkwe mwema anatoka kwa BWANA na hakuna awezaye kumuona isipokuwa yeye pekee ukilia lia na sisi ma baby gelo tufanyaje!??[emoji82]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…