Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

Pole sana ndugu... Inaumiza sana hii kitu...
 
Hakika hakuna Mapenzi ya dhati nowdays...... Wallopo ni wachache sana wanaojua thamani ya mtu
 
Ukitaka kuishi na mwanamke kuwa kama njiwa na pia uwe kama nyoka. Wewe umekuwa njiwa tu. Utapata tabu
 
Mwanamke akinipa one word chart hanipati tena daima, watu wengine mna mioyo magumu sana
 
Hii haijakaa sawa kabisa
Hivi unawezaje kuwa zuzu kwa mtu ambaye kabisa anakuonyesha dalili kuwa akupendi alafu unang'ang'ania tu?
Kwani huyo ni mama yako mzazi?
Ebu fungua macho bwana amka kwenye hilo Lindi la usingizi.
How comes muhasibu mzima tena employed unaruhusu mtu anakudrive like chizi. Unaaibisha wanaume.
Anza kumpotezea taratibu then utaona and am sure hakuna mapenzi hapo and will go for good
 
Kwanza huyo, mtengenezee mazingira ajue una thamani. Njia ya kwanza usiwe unamtafuta, hata akae week, muache akutafute yeye. Mpaka ifikie mahali akuulize "shida ni nini?" Rudisha thaman yako kwanza. Mimi mwanamke mmoja tu ndo alinifunza baada ya kuniumiza vibaya sana.
 
Mapenzi ya sasa yamekuwa biashara sawa umepitia mengi jipe moyo
Ndo kukomaa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…