murthehelp
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 194
- 161
Mimi kama mimi nimefika hatua ambayo siumii tena na moyo umekufa ganzi kabisa yaani ukiona nataka demu basi ni kwa show time, nafikiria kuoa lakini naona kabisa ninaeenda kumuoa namuonea huruma kwa sababu sio kwa sababu na taka watoto au muda wa kuoa ume fika hapana nataka kuoa ilimradi tu maisha yaendelee lakini sitarajii kuumizwa wala kuwaza juu ya mapenzi