Moyo wako umetunza nini?

Moyo wako umetunza nini?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,858
Kitu pekee chenye thamani na chenye kuamua mstakabali wa maisha yako, utakacho kwenda nacho kaburini ni kile ulichotunza moyoni.
Swali la kujiuliza ni. Moyo wako umetunza nini?

Hakuna wakati mzuri wa kufanya maamzi yako kama sasa.
 
Uko vizuri Sana kwenye Neno, I wish ningepata hio knowledge na Mimi. Saafi kabisa
mkuu haya ni maarifa tu, kikubwa tubadilishwe hata kama unafahamu mstari mmoja.
Mungu anataka tuyaweke maneno moyoni kwa sababu...
"Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?" Yeremia 17:9
njia pekee ya kuuogoa ni kuliweka Neno ambalo litaondoa udanganyifu na kuuponya.

nje ya hapo ni ubatili na kujilisha upepo.
 
Back
Top Bottom