Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,518
- 42,653
Ndio maana sera zao ni kama tembo na sungura....
Ni kweli mkuu halafu mwigulu nasikia anataka kujiunga na CCM
Ndio maana sera zao ni kama tembo na sungura....
Ni kweli mkuu halafu mwigulu nasikia anataka kujiunga na CCM
Mwigulu ndio yule field marshal asee....hivi akijiunga itakuaje??? Classified
VIJANA WA FACEBOOK WAMEANZA KUCHOKA FB SASA WAMEHAMIA HUKU KWA WINGI :suspicious:Kuna tatizo kubwa sana la uandishi jf..sijui ni nini..?
Jamani UKAWA waliingia bungeni Leo?
Ni kweli mkuu..ila na elimu yetu inatakiwa ifanyiwe review la sivyo kutakua na shida sana baadaeVIJANA WA FACEBOOK WAMEANZA KUCHOKA FB SASA WAMEHAMIA HUKU KWA WINGI :suspicious:
VIJANA WA FACEBOOK WAMEANZA KUCHOKA FB SASA WAMEHAMIA HUKU KWA WINGI :suspicious:
Ni kweli mkuu..ila na elimu yetu inatakiwa ifanyiwe review la sivyo kutakua na shida sana baadae
Wewe upo kwenye infatuation rafiki!Bado hujapata true love!Me nadhani npo kati ya hayo mambo mawili....love and infatuation...
Hawakuingia, wameachiwa interahamwe
Wewe upo kwenye infatuation rafiki!Bado hujapata true love!
Interahamwe ndio nani
pole sana muombe mungu kila mtu ana tatizo ka,a lako ila wengi hatujui kama tuna tatizo bora wewe unaejua unalo kwan kulishughulikia ni rahisi
Ni kwa neema tu!!! Asante
neema nani.?au neema zipi au za nani?
YESU RUA,kitewe nkyi lanye. kekapa makoti uterewe ko RUA kuorye kyalema kokyefo.
Ni sawa hata ukichanganya ila kuwe na mtiririko unaoeleweka..mtu unaweza kuandika pembeni kwanza , halafu ndo unaandika jf, wabongo kufanya kitu kwa umakini hatupendi ni ubishi wa kijuaji tujiangalie mkuu na join date yako hiyo uwe unapitia profile basi kabla ya ku comment.......