Moyo unauma sana

Moyo unauma sana

Kwenye huu uzi kila mwanaume anataka damu yake. Wakati mtaani kuna ma single mother kibao ambao wametelekezwa na hawa hawa wanaume. Leo mnajidai hamuwezi kuacha damu yako ipotee. Huku watoto zenu tuna walelea.
Ukweli mtupu
 
Mtu kakaa miaka 7 kwenye ndoa unamuita binti.. Huyo ni bibi mkuu
 
Kwahiyo umefahamiana a mwanamke mwaka 2018 then ilipofika mwaka 2016 akakutumia picha za mtoto au mi ndo sijaelewa
 
Wadau habari za saa hizi. Acha niende moja kwa moja kwenye mada
Mwezi wa 12/2018 nilisafiri kwenda Dar nikamaliza wiki 2 nikiwa huko .nilivyo Rudi tu huku kwetu nikakuta kwa jirani yetu kuna binti mrembo Sana ambaye alikuwa Ni mgeni pale, Kama tulivyo mabaharia ikabidi nijisogeze kwa binti kumuambia mawili matatu .
Nilimpa maneno binti akalainika Mambo yakaenda sawa .
Ilinichukua siku 3 nikaomba papuchi nikapewa nikala mzigo .
Baada ya kumaliza kula mzigo ikabidi nianze kumuhuiliza kuhusu background ya maisha yake. Binti alikuwa wazi kuniambia Mambo mengi Sana ya maisha moja ikiwa alizaliwa akiwa peke yake kwenye familia yake baba na Mama yake walifariki kwenye ajali ya gari, alibahatika kuolewa na Sasa Yuko kwenye ndoa miaka 7 ila hajawai kushika ujauzito hivo imesababisha vurugu nyingi saana mpaka imefikia Mme wake amemfukuza ,hivi ameomba hifadhi hapo kwa jirani yangu ila Ana mpango wa kwenda kwa shangazi yake morogoro nimsaidie .Basi nilimuonea huruma Sana . Basi Basi nilimuonea huruma na ikanibidi nimuakikishie kuwa nitamchukua awe mke wangu wa pili na nilimuambia kuwa atatibiwa mpaka atapona .niliendelea kula papuchi Kama kawaida nilikula papuchi tarehe 24, 26,28 na 30 nilikuwa napanga nipige mkesha kwenye sherehe za mwaka mpya mme wake alikuja na ndugu zake wakamchukua na kumrudisha nyumbani niliona Kama masiara aliponiambia kwani nilikua nimeanza kumpenda huyo binti Sana.
Basi maisha yakawa yanaendelea ilipita Kama siku 4 akanitumia messeji kuwa anaumwa na akaniomba nimtumie pesa anunue dawa .nilienda kwa waka nikamtumia 20,000 .ilipofika mwishoni kwenye mwezi wa 1 akaniambi kuwa amepitisha tarehe ya hedhi hivo anahisi kuwa na ujauzito .nilimualika nyumbani ili kuweza kupima nilinunua vipimo viwili ,alipofika tu nilianza shuguli ya kupima na majibu yakawa POSITIVE .Nikajaribu kumshawishi atoke kwa jamaa ili niweze kumchukua akaniambia kuwa atajifikiria ili anipe majibu sahii.
Alipofika nyumbani kwake akanitumia meseji kuwa hayuko tayari kuvunja ndoa yake ila tutakuwa tunawasiliana na maendeleo ya mimba na mtoto akizaliwa atakuwa ananijulisha. Sasa juzi tarehe 02/10/2016 na saa sita mchana akanitumia picha ya mtoto akiambatanisha na ujumbe kuwa amejifungua salama mtoto wakiume. Sasa nikamuhuliza mtoto amepewa mjina gani ,akanijibu kuwa baba yake amempa jina la Prince mateso.nikamuhuliza baba yake Nani ? Aka kaa kimya baadaye akanijibu kuwa japokuwa ile ni damu yangu lakini natakiwa kujifanya kuwa Kama simfahamu yule mtoto.
Sasa wadau nahisi kuchanganyikiwa ukizingatia kuwa huyo ndiye mtoto wangu wa Kwanza kabisa. Leo ndiyo ameruhusiwa kutoka hospital nimemuona akiwa na Mme wake akiwa amembeba mtoto wangu Nilisikia vibaya kupoteza Damu yangu. NAITAJI USHAURI maana nataka kusambaratisha ile NDOA.
Kwani huna uhakika wa kupata mtoto mwingine?

Usifikirie kuharibu ndoa ya mwenzio muda utaongea kama kweli mtoto ni wako au lah muhimu kua na subira
 
Wanaume mna tabu sana asee!
Imagine mume proudly kabisa anaenda kulea mtoto akijua ni wa kwake

Kimsingi ningekuwa ni mimi kama mbwai iwe mbwai,nisingeweza kuangalia mtoto wangu anaenda kulelewa na mwingine wakati mimi nipo...huyo mke angekuwa hataki kuhatarisha ndoa yake asingejihusisha na mwanaume mwingine wakati anajua ana mume

Poleni sana wanaume mnaolea watoto wasio wenu bila kujua

Ingawa mtoto alizaliwa miaka mitatu kabla hamjakutana🤣
[/QUOTE]

Huwa yanatokea, lakini hii ni story ya kutunga tu, kufurahisha baraza!!
 
Ulienda kulima shambani kwa mtu bila makubaliano....

Huwezi kuvuna chochote japo nikweli umelima mwenyewe ..... ukifanya Fujo

Kifo kinakuhusu....unavunja ndoa ya mtu

Kifungo kinakuhusu....wewe utashikwa ugoni

Tafuta shamba lako, shamba halali.....Lima kwa uhuru kisha msimu wa mavuno...utavuna haki na jasho lako.

Majibu yako nimeyapenda!!
 
Kwa Nini uzae na mke wa mtu?

Kwamba hukuona mabinti hadi ukaamua kuzaa na mke wa mtu?
 
Mwehu mkubwa, acha ujinga katombe kwengine umwage kojo upate wako.
 
Nikushauri kitu......


Chomoa betri,.
Hapo sasa asije akachomolewa yeye betru, huku nakokaa kuna jamaa nae alimpa mimba mke wa mtu, alipojifungua jmaa akaanza mbwembwe kua anamtaka mwanae kilichofuata aliokotwa mtoni ametolewa meno mbele ya juu manne na malinda yamefumuliwa. Jmaa alihama mtaa hajawahi kuonekana mpaka leo. Mwenye mke yupo tu anadunda.

Achomoe betri, ila awe tayari kumuoa huyo mwanamke kama akiachika. Pia awe tayari kwa mabaya yatakayo mkuta maana kutembea na mke wa mtu mpaka umpe mimba sio mchezo kama mwenye akisikia hata kma alimfukuza ila kma kamrudia hsina shida.

Au usibir mtoto akue ili aambiwe na mama yake kua baba ake ni mwingine (ila hii sio nzuri sanaa kwasabubu mtoto atakosa upendo halisi wa bababa).

Nb: Nashauri awe makini sana hapo,visasi vipo halafu tukubali tu kua jamii nyingi za kiafrika wanaume wengi ni Social fathers than biological fathers, ndio maana wife akizaa hata hatusumbuki kwenda kupima DNA tunajua tu kua ni wakwetu.
 
Aisee kweli tupu umeongea
Sasa wewe ukisema moyo unakuuma mkuu, na yule baba ambae kimsingi ndio mwenye mke na amebambikiwa mtoto asemeje?

Hata hivyo, mkuu una uhakika gani kama mtoto ni wako? Acha kujiumiza moyo hadi uproove! Usichukulie maanani sana stori za wanawake kuwa mume wangu hapigi mashine mara mume wangu hana uzazi ndio maana kanifukuza, huwa ni stori tu hizi hapo kitandani mlipokutana!

Kama mume hana uzazi kapataje courage ya kumbambikia mtoto?

Subiri uhakikishe ndio ufungulie roho yako kuuma, ushauri tu. Usidhani wewe ndio kidume sana kuzalisha kuliko mumewe. By the way chochote utakachofanya jamaa ataweza kukushtaki kwa kosa la ugoni. Be careful.
 
"E="Mr Morogoro, post: 33033385, member: 548471"]
Hivi kwa mfano ukivamia shamba la mtu ukalima,mazao yakishakua yanakuwa ni mali ya nani...mwenye shamba or mvamizi???
[/QUOTE]"
It makes sense but it's nonsense. No offense though...
 
Mi mwenzenu jina la mtoto tu ndio limenishangaza.
Prince mateso
 
Hii sio stori ya kubuni ,kwani ingekuwa ya kubuni ingeandaliwa vizuri na ingewekwa maneno mengi ambayo yangekufanya wewe msomaji uweze kuvutiwa zaidi. Kwahiyo wewe to USHAURI Kama ulivyoelewa tu .ikiwa haujavutiwa pita pembeni.
Hizi ni stories za kwenye children literature!
 
Back
Top Bottom