Moyo Ulioonja Maumivu

Moyo Ulioonja Maumivu

😂
Hahahahah Mobutu bwana umenishinda tatizo na ww kiben10 sasa
Trust me.wala Mimi sio kiben10 pia sio muhenga ni age mate wako kabisaaà. Njoo shunie tuyajenge mtoto mzuri Kama wewe unahitaji kupendwa na kutunzwa.😘
 


Trust me.wala Mimi sio kiben10 pia sio muhenga ni age mate wako kabisaaà. Njoo shunie tuyajenge mtoto mzuri Kama wewe unahitaji kupendwa na kutunzwa.
Hahhaahha wewe sio agemate wangu mm mtu mzima sana nakusomaga sana ujue yaan bado kiben10

Hahhah eti nahitaji kutunza ngoja nikuje kuchukua mahela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom