makubazi wapweke ni wengi sana sana...!na kwakweli siku hizi upweke ni tatizo linalokua kwa kasi
Khee jaman na cc mabonge?
Wanasema ati huwa tunasoma gazeti
naiman64 umemshtua mno miss gisenyi
Hapana mimi nina leseni kibali na cheti
naiman64 umemshtua mno miss gisenyi
Ulijuajeee???
Labda hajasikia mkuu hapa ni peupe sisemi mengi ila wakishaona ndani hawatoki tena wanachonga mzonga
Mi mpigaramli
Ohooo sikuwekei dhamani mkuu
Hapana ysiogope pls
Mkinitenga nyie....!!!!