MOYO MPWEKE

Ukiacha nyeto utajua namna ya kuwapata...
Cha muhim acha kujiselfie then utaona huo msukumo utakaopata automatically from inside utajikuta kila demu unamtaka na kama unastatus nzuri kiuchumi hutakua na kaz ngum kuwapata
Take this from me

Mkuu si kwamba ana tatizo tofauti na hilo kwelii?
 
Ukweli sijapata PM Ata moja mkuu
 
Huwa nashangaa sana humu anajitokeza mwanamke anatafuta mchumba hakuna mwanaume anaejitokeza.. alafu muda mfupi tuu kupita anajitokeza mwanaume nae anatafuta mchumba..
Hivi kwani huwa mnakuwa mnaogopana au hamuonani au huwa inakuwaje

Wanaogopana mkuu nani amuanze mwenzie
 
Bebee njoo nikupatie pumziko la nafsi na hautokuwa mpweke tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…