Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
Sawa kakaUkiacha nyeto utajua namna ya kuwapata...
Cha muhim acha kujiselfie then utaona huo msukumo utakaopata automatically from inside utajikuta kila demu unamtaka na kama unastatus nzuri kiuchumi hutakua na kaz ngum kuwapata
Take this from me
Sijaona mkuuAngalia pm yako bado awajaanza kuja kweli
Seriously mpaka ndoaUnatafuta mke au mtu wa kuzugia
Hahaha unatania wenzako tumekwama.Njooni kwangu ninyi nyote wenye kulemewa na usingo nami nitawapumzisha
Ni story ndefu yaan hautanielewaMtaani kwenu hakuna wanawake?
Je kama wewe ni domozege unashindwa kuwatuma wazee wa busara wakutafutie mchumba?
Buku DansaUna sh. Ngap nikupe mpenzi anaejielewa??
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa nashangaa sana humu anajitokeza mwanamke anatafuta mchumba hakuna mwanaume anaejitokeza.. alafu muda mfupi tuu kupita anajitokeza mwanaume nae anatafuta mchumba..
Hivi kwani huwa mnakuwa mnaogopana au hamuonani au huwa inakuwaje
Njooni kwangu ninyi nyote wenye kulemewa na usingo nami nitawapumzisha
Mbona kiswahili kimenyooka kabisa hicho ni maana gani unayoitakaUlimaanisha nn hapa
Mbona kiswahili kimenyooka kabisa hicho ni maana gani unayoitaka