IN MOYES WE TRUST. Watu wanakandika miaka kumi sa hv hawajacheza japo fainali na bado wamo wanapiga kelele kuliko hata bingwa mtetezi na bado mechi 16 unasema aondoke? Maana ya mkataba wa miaka 6 ndo hiyo una muda wa kuanguka,kunyanyuka,kujipanga na kusonga mbele. Fergie hadi sasa kipindi alichokuwepo fergie alipotua manutd na moyes manake moyes kamzidi fergie jiulize wangemfukuza mapema tungekuwa wapi? Hii sio Yanga kila akipigwa na Simba kocha kwaheri au chelsi akikosa ubingwa kwaheri kocha mikataba ya miaka miwili tu si ujinga huo.