Movie zangu kali za utotoni!

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,323
1,105
Zifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni!

Commando - Arnold Schwarzenegger

Double impact - Van Damme

Drunken master - Jackie Chain

Hadi leo huwa haziniisha hamu kuziangalia, na huwa zinanikumbusha mbali sana!!!
Tupia hapo chini movie gani ilikuwa kali kwako wakati wa utotoni wako/ ujana wako, kwa wengine ni kama vile enzi zileee za video show wakati tv hazijakuwa zimetapakaa hivi!! Ukiweka na picha itakuwa poa zaidi(japo sio sheria)...
 
Mimi kuna Movie inaitwa Easter Condors kuna Mr.Chain,Suma Hong nk yaani nilikuwa siichoki hasa ila sehemu anadunda-dunda kwenye vyuma halafu Mr.Chain anabetua nazi anampiga jamaa kifuani..Flashback la nguvu.
 
Unamaanisha EASTERN CONDORS? Lilikuwa boonge la movie, mr chain anapigana kwa dharau huku akijipepea na kipepeo, mwishoni mawani ilipovunjika ndio akaipata tamu yake!!
EASTERN CONDORS
 
Me nilikuwa naipenda ya kihindi Andhaa Kanoon, yule stering jina limenitoka alivyokuwa analipiza kisasi kwa maadui waliomuua baba yake na kuwatesa wao, yani hainiishi hamu
 
Kabi kabi/amitah bachan,
Giuliano gemma/one silver dollar...a cowboy movie.
 
kuna movie nyingine hiv makomando walienda uaharabun afu mwishon jamaa m1 anachomwa kisu cha mguun alipokua kakanyaga bom,dah hiyo muv nakumbuka ilikua noma. Kuna m2 anaikumbuka jina limentoka kabsa
 
The second wife ya Ray kigosi! Mwenye nayo jaman aniazime inanikumbusha kipind kileee!
 
Kuna ile ya Govinda inaitwaje vilee? Kuna katoto kanaita 'yaya' , embu anayejua anikubumbushe!

inaitwa HATYA, na kuna ya Jack shrofa inaitwa tel mehel baniya, stering mbwa, jinc alivyowaua maadui wote kwa kumuua bosi wake, yani kipindi hicho Ashanti ndani ya nyumba, au ROHA, muvi za zamani raha sana
 
Hii movie ilikuwa moto saana, !!! Si unajua za utoto hata majina ya movie huwezi kuyashika,
HATYA- Govinda, Neelam

inaitwa HATYA, na kuna ya Jack shrofa inaitwa tel mehel baniya, stering mbwa, jinc alivyowaua maadui wote kwa kumuua bosi wake, yani kipindi hicho Ashanti ndani ya nyumba, au ROHA, muvi za zamani raha sana

nayo hiyo ilikuwa moto saana naikumbuka sana jinnsi mbwa anavyowahenyesha watu mule, na mbwa kwenda kwenye kaburi la boss wake akitoa machozi kama ishara ya kumkumbuka!
Lakini jina sijui umeikosea, nimeitafuta google nimeikosa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…