Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,669
- 4,920
Ukiangalia muvi za Kimarekani unakutana na miji tofauti... Mfano..
Hogwarts muvi za Harry Potter.
Asgard muvi za Thor.
The Land of Oz.
Pandora muvi za Avatar.
Narnia muvi za Narnia.
Super Mario.
Disney Land
Middle East.
Wonderland.
Mushroom Kingdom.
Ushawahi kugoogle hii miji in real world inapatikana wapi? Ama unayafurahia tu kwa sababu yanasomeka vizuri?
Utakapoanza kuyatafuta kwa Google ndipo utakapojua kile ninachokwambia kila siku, utakapovuka Bara la Antraktiki, kuna maisha ya watu wengine yanaendelea.