Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Acha wizi, kanunue kazi za wasanii wa bongo kama unazipenda, otherwise mtaua soko kabla hata ya kuanza.
kua mpole mkuuAcha wizi, kanunue kazi za wasanii wa bongo kama unazipenda, otherwise mtaua soko kabla hata ya kuanza.
Jamani tuoneeni huruma sisi wasanii lol!
Acha wizi, kanunue kazi za wasanii wa bongo kama unazipenda, otherwise mtaua soko kabla hata ya kuanza.
asante kwa ma*shudu yako,,,mimi nataka zile ambazo ziko shared online,,nasifikirii kama huo ni wizi
Mi nnayo ya bongo pon, kama unamind twende pinda,,
Hauzani kama ni wizi? Kazi hizo zina hakimiliki, ni wizi kuzidownload bure haijalishi imewekwa wapi.
by the way we achana na mm nimesema kama una cha kushare ,,better shut up
Sasa kama anacho tena ashut up? Au ulikuwa unamaanisha "huna"
Mods hebu toeni hii kitu hapa siyo mwake kabisa!!!Ingia hapa kupakua <<<Click Here!
Ingia hapa kupakua <<<Click Here!