ukitaka kupewa nyota na medali kwenye series za kikorea lazima upitie kwenye series yao moja inaitwa jumong kama sijakosea...
kana aujacheki hiyo jumong aupati kadi ya uanachama wa korean series flms group (KSFG)
Story ya ile movie ni hatari kila character alisimama kwenye nafasi yakeJumong ya muda sana chief nilishaiona kitambo sana
icheki DONG YI na JACKPOT mkuu..hautojutia.aisee kuna movie nilikua naangalia leo ya kikorea inaitwa kingdom ni movie ya series nimeangalia season ya kwanza nimependa sana namna ilivyo wameni impress kuzidi kuwafuatilia zaidi ebu naomba mjaribu kunitajia movie zingine za kikorea nazoweza ziangalia ambazo ni kali pia ,ziwe series tafadhali
Bila kusahau Iris na The man called God.ukitaka kupewa nyota na medali kwenye series za kikorea lazima upitie kwenye series yao moja inaitwa jumong kama sijakosea...
kana aujacheki hiyo jumong aupati kadi ya uanachama wa korean series flms group (KSFG)
Mzee hiyo Chuno ni noma na nusu!!!Kuna series kama Jumong, bridal mask,slave Hunter(chuno),Bichuno,Iris one nk ni hatari sana
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Niueee peaaa,nichinjeee peaaNachekaga sana wanavyomnyenyekea mfalme.
Kwao ndio wanaisema Yeee
Mfalme wanamwita "pia"
Sasa wanavyomnyenyekea 😁😁 yeee piaaaaaaaaaa
Hi chupa hatari kuna moja pia sio yake lakin inaitwa AFTER 3 DAYS.A MAN A CALLED GOD
View attachment 1799215