FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Cha kuvutia ni jinsi ilivyo realistic and convincing..!
Last edited by a moderator:
Hahaha.., nani huyo.., funguka!Haya yetu macho, japo habari yenyewe haisemi aliyependekeza ni nani, isije kuwa ni yule ndugu anayependa kujiweka karibu na wasanii zaidi kuliko watu wengine
Hahaha.., nani huyo.., funguka!
Hahaha.., nani huyo.., funguka!
Movie na the Grammy Awards wapi na wapi? Labda ungesema the Oscars.