Movie ya Wema yapendekezwa Grammy awards, ona trailer!

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,358
2,000
Haya yetu macho, japo habari yenyewe haisemi aliyependekeza ni nani, isije kuwa ni yule ndugu anayependa kujiweka karibu na wasanii zaidi kuliko watu wengine
 

NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Kwamba Wema ni mkorofi, hakuna ubishi manake hata Meneja wake mara kwa mara amekuwa akisema.. hata hivyo, Shigongo na magazeti yake wanastahili zaidi ya hivi... huwezi kuamua kutengeneza pesa kwa kuchafua watu kila siku... hawa ni watu wa kuwaingilia news room na kuanza kutoa kichapo kwa mmoja baada ya mwingine!
 

guasa

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,867
0
movie na grammy awards ni vitu viwili tofauti huyu alieanzisha huu uzi nae jasiri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom